ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sanasana uchawiMovie nyingi zinaingizwa pwani maudhui yale yale uchawi, ngono, uuzaji wa tende n.k
Nafikiri ni suala la maandalizi si sababu ya kusema hakuna kukumbana na baridi la MoshiNa pia sidhani kama tuna waigizaji wa kuweza kukumbana na baridi la Moshi.
😂😂😂😂Nimecheka aseeeeMovie nyingi zinaingizwa pwani maudhui yale yale uchawi, ngono, uuzaji wa tende n.k
ilikuwa nchini Tanzania pale mkuu?Angelina Jolie aliigiza kipande kidogo kama yupo mapangoni karibu na Mt. Kilimanjaro kwenye filamu ya Tomb Rider.
Ipo. Ile prison break ya bongo ambayo waliektia gereza la ukonga, Scofield wao alikamatiwa mlima kilimanjaroHatuko serious kwenye tasnia ya filamu yaani nchi yote hii wasanii wameshindwa kuja na idea ya movie ikachezwa mlima kilimanjaro au serenget au ngorongoro
eheee serengeti tena au kilimanjaro?kaangalie The UNIT kuna kipande imechezwa serengeti
eheee serengeti tena au kilimanjaro?
kauliza kilimanjaroChaguaa..!