vizuri mkuu, kwanza hongera kwa kunywa maji mengi kiasi hicho!!!, bali hutakiwi uzidishe lita 3 na nusu kwa siku. kumbuka pombe ni kikojoshi (diuretic) huyalazimisha maji kukimbia nje ya mwili kwa haraka, yaani unapokunywa pombe kikombe kimoja, utaenda kukojowa vikombe viwili, kwahiyo unapungukiwa maji mara 2. utaona mwenyewe ukinywa tu maji, haukawii kwenda kukojowa. kitendo hiki cha kukojowa muda mfupi tu baada ya kunywa kimiminika hupelekea madini na vitamini za mhimu kutoka nje ya mwili na kuandaa ngazi ya ugonjwa fulani huko mbeleni. kumbuka; usizidishe lita tatu na nusu kwa siku na pombe ni kikojoshi(diuretic). tembelea: <u>maajabuyamaji2.artisteer.net</u>