STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
"Hivi Mpenzi Hebu Niambie umenipendea nini
mimi"""...
Hamna Swali linalonishangazaga kama
hili, halafu wadada wanalipenda balaa..Na sijui huwa
wanataka tuwajibuje kwa mfano...Je niseme
macho...Inye gwedegwede...Miguu yako yenye tege
kama Boban..Nywele zako ndefu ama?? Mbona mnatuforce tuwe waongo jamani?
We Unapendwa
inatosha shukuru Mungu unapendwa yaishe..Sasa
hayo unayotaka kuchimbua yatakushinda...Upendo
wa kweli haunaga sababu...Ukimpenda mtu kwa
sababu ya kitu fulani kinachoonekana basi
umeshafeli, bado uko kwenye Stage ya Tamaa...Mtu akishavuka akakupenda maana yake amevuka
Tamaa maana Hardware muda wowote huwa
zinazingua..Nywele zinanyonyoka..Miguu
inababuka..Nyonyo zinakuwa saa 12 kama ndala za
Umoja akizaa..Lazima kuwe na Inner reason ya yeye
kukupenda hata kama Seating Allowance ikija ikapotea huko mbele...Sasa mdada unaambiwa Yaani
mi napenda
unavyotembea yaani kama Wema kamuona Diamond
stejini.. Na Dimples zako tu tutazaa watoto wa ukweli
sana... Macho yako kama Paka mwenye Usingizi ndo
yananimaliza, halafu Ukismile ndo naishiwa nguvu kama kuku mwenye Mdondo...Ukiambiwa
unachekelea mwenyewe hadi gego lako lenye jino
bovu linaonekana..Unablush hadi vipele vya ukurutu
vinakutoka wakati umejibiwa upuuzi Grade 1...
True Love has no reason,