Hatushikiki, hatuzuiliki, hatukamatiki!

Hatushikiki, hatuzuiliki, hatukamatiki!

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Kwa masikitiko kabisa na kwa mara ya kwanza in history chini ya uongozi wa Barba SSC imedhalilika na kupata aibu ya mwaka.

Hayo mambo yanayotokea ya kuazima makocha ni kitu ambacho kimeiondolea SSC ile standard yake na ukubwa wake, yaani imekuwa ni kama klabu ya wahuni na hii ina impact kubwa kwenye ulimwengu wa investors na sponsors. Guys hakuna kitu muhimu kama kutunza reputation yako. Barba anaua reputation ya klabu kwa kasi ya ajabu.

The worst nightmare ni kumbe hata huyo kocha Juma cheti hana, lakini kwenye public statement imeelezwa ndiyo kocha wa muda, ni aibu ni aibu, kumbe hata Juma hakuchunguzwa na kuulizwa ni kweli ana hivyo vyeti? Jamani SSC, mbona hii ni kazi rahisi sana kabla hamjaja kwa public!

Barba una shida gani ? What is wrong with you ? Kuna shida gani kwa kichwa chako?

Hii ni failure yako na niseme wazi tangu uwe Mtendaji Mkuu umeharibu reputation ya SSC , umefanya SSC ichukuliwe poa na vitimu kama Yanga vinavyoanza kuchipuka, umekuta SSC ipo ahead of time, umekuta Simba ikiwa ni klabu kubwa sana barani Africa, umekuta Simba imejengwa imara!

Chini yako tulitolewa taifa na Galaxy, chini yako tumekosa hata nusu fainali ya shirikisho na chini yako tumekosa kombe hata la mbuzi, chini yako tumeaibika na ukubwa wetu umeshuka, Chini yako tumefungwa na vitimu kama Yanga mara tatu consecutively, haijawahi kutokea in history, chini yako tumesajilI makocha wa hovyo kuwahi kutokea, chini yako tumekuwa na usajili wa hovyo kuwahi kutokea. JITAFAKARI! kama bado una fit kwenye hiyo position.

Nilisema wazi kuwa CEO wa kampuni inahitaji akili kubwa na technical skills, it was the worst decision ever made kumweka Barba kuwa CEO wa Kampuni, apart from conflict of interest na Mo na kushindwa kuwajibishana baina ya wawili hawa, hana any kind of technical skills kwenye football na ndio maana mnaona scouting za makocha na wachezaji ni NIGHTMARE!

Barba ni mzuri kwenye Marketing na public relation , angepewa hiyo position tangu mwanzo then tukawa na CEO mwenye uelewa mkubwa na mpira, hii ingesaidia sana. Mo achunguzwe kwenye hili.

Ndani ya siku moja tumekuwa na makocha watatu, hii ni faiilure na lack of corporate planning! Inaiondoa SSC kwenye ukubwa wake na ni aibu. Barba akumbuke hii ni timu ya Taifa na Viongozi wakuu wa Nchi akiwemo Samia , Spika wa Bunge, na Jaji Mkuu , hii ni mihimili mitatu ya nchi , hivyo asilete hizi mambo hii ni national klabu na inaweza kuleta machafuko mtaani na kwa vijana na taifa likaingia kwa machafuko.

Way forward ni Barba ajitafakari na ikibidi AJIUZULU HARAKA SANA! Try again AJIUZULU pia. Matola astaafu kiheshima na tuache ujinga kuwa eti matola ndio analeta ushindi viwanja vya mikoani.... hii thinking ni ya HOVYO sana na inaonesha immaturity kwenye soka. Matola apumzike kwa heshima

Barba hii sio timu ya familia, haiwezi kuendeshwa kihuni namna hii. Yaani kumbe hata Juma mlikuwa hamjui kuwa hana cheti, shame!

Barba wewe ni FAILURE!

It is the worst nightmare of all time kwa SSC.
 
Kwa masikitiko kabisa na kwa mara ya kwanza in history chini ya uongozi wa Barba SSC imedhalilika na kupata aibu ya mwaka .

Hayo mambo yanayotokea ya kuazima makocha ni kitu ambacho kimeiondolea SSC ile standard yake na ukubwa wake, yaani imekuwa ni kama klabu ya wahuni na hii ina impact kubwa kwenye ulimwengu wa investors na sponsors. Guys hakuna kitu muhimu kama kutunza reputation yako. Barba anaua reputation ya klabu kwa kasi ya ajabu.

The worst nightmare ni kumbe hata huyo kocha Juma cheti hana, lakini kwenye public statement imeelezwa ndiyo kocha wa muda, ni aibu ni aibu, kumbe hata Juma hakuchunguzwa na kuulizwa ni kweli ana hivyo vyeti? Jamani SSC, mbona hii ni kazi rahisi sana kabla hamjaja kwa public !

Barba una shida gani ? What is wrong with you ? Kuna shida gani kwa kichwa chako?

Hii ni failure yako na niseme wazi tangu uwe Mtendaji Mkuu umeharibu reputation ya SSC , umefanya SSC ichukuliwe poa na vitimu kama Yanga vinavyoanza kuchipuka, umekuta SSC ipo ahead of time, umekuta Simba ikiwa ni klabu kubwa sana barani Africa, umekuta Simba imejengwa imara...!

Chini yako tulitolewa taifa na Galaxy, chini yako tumekosa hata nusu fainali ya shirikisho na chini yako tumekosa kombe hata la mbuzi, chini yako tumeaibika na ukubwa wetu umeshuka, Chini yako tumefungwa na vitimu kama Yanga mara tatu consecutively, haijawahi kutokea in history, chini yako tumesajilI makocha wa hovyo kuwahi kutokea, chini yako tumekuwa na usajili wa hovyo kuwahi kutokea. JITAFAKARI! kama bado una fit kwenye hiyo position.

Nilisema wazi kuwa CEO wa kampuni inahitaji akili kubwa na technical skills, it was the worst decision ever made kumweka Barba kuwa CEO wa Kampuni, apart from conflict of interest na Mo na kushindwa kuwajibishana baina ya wawili hawa, hana any kind of technical skills kwenye football na ndio maana mnaona scouting za makocha na wachezaji ni NIGHTMARE!

Barba ni mzuri kwenye Marketing na public relation , angepewa hiyo position tangu mwanzo then tukawa na CEO mwenye uelewa mkubwa na mpira, hii ingesaidia sana. Mo achunguzwe kwenye hili.

Ndani ya siku moja tumekuwa na makocha watatu, hii ni faiilure na lack of corporate planning! Inaiondoa SSC kwenye ukubwa wake na ni aibu. Barba akumbuke hii ni timu ya Taifa na Viongozi wakuu wa Nchi akiwemo Samia , Spika wa Bunge, na Jaji Mkuu , hii ni mihimili mitatu ya nchi , hivyo asilete hizi mambo hii ni national klabu na inaweza kuleta machafuko mtaani na kwa vijana na taifa likaingia kwa machafuko.

Way forward ni Barba ajitafakari na ikibidi AJIUZULU HARAKA SANA ! Try again AJIUZULU pia. Matola astaafu kiheshima na tuache ujinga kuwa eti matola ndio analeta ushindi viwanja vya mikoani.... hii thinking ni ya HOVYO sana na inaonesha immaturity kwenye soka. Matola apumzike kwa heshima

Barba hii sio timu ya familia, haiwezi kuendeshwa kihuni namna hii. Yaani kumbe hata Juma mlikuwa hamjui kuwa hana cheti ..... shame!

Barba wewe ni FAILURE!

It is the worst nightmare of all time kwa SSC.
Dogo una dharau sana. Yaani Yanga ni katimu kadogo kanako chipuka!! Kwa hali hii wacha tu huyo Barbara aendelee kuwanyoosha. Maana hamjitambui.
 
Yaan nikisoma kilichoandikwa

Nyuma naona km Haji Manara ndie anaeongea sio poa

Barbara Gonzalez mama wa kuupiga mwingi na mwingine leo imekuaje mama nini shiiida?
 
Yaan nikisoma kilichoandikwa

Nyuma naona km Haji Manara ndie anaeongea sio poa

Barbara Gonzalez mama wa kuupiga mwingi na mwingine leo imekuaje mama nini shiiida?

Kwani Haji ni SSC?
 
Nakumbuka alivyokua anamlalamikia kipindi kile wakati hajaondoka Simba mkuu

Mkimzingua sana Barbara Gonzalez nae atahamia Yanga nyie fanyeni uduanzi tu mshangae yatayowakuta timu itakufa mazima

Simba ilikuwepo kabla ya Mo na Barba ! Umesahau Mkuu
 
Mbumbumbu kwenye ubora wako,mbona ofisi anazopatikana huyo babra na mabwana zake zinafahamika!,umeshindwa kuwauliza mbumbumbu wenzio wakuonyeshe ofisi ukamtapikie hiyo nyongo yako huyo Babra?,sasa hapa unadhani tutakusaidia nini?,wafuate ofisini ukawaeleze u-mbumbumbu wako!,ACHA KUTOFOKEA
 
Wewe ukiona imetosha .pole
 
Kwani Haji ni SSC?
Aliyekuambia Haji ni Yanga nani? Alisema kwa mdomo wake kwamba hata siku moja hatokuwa Yanga, Haji huko alipo anaganga njaa tu na ndio maana kila siku haishi kulalamika kuhusu SSC, nashangaa Yanga wanamshabikia [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Ni wakati wa sasa Babra na Matola kukaa pembeni kulinda heshima zao wawe wamekosea au hawajokosea. Na wao hawatakuwa watu wa kwanza kufanya hivyo kwani kuna watu wengi tu walikuwa hapo Simba wakaondoka kwa shinikizo la wanachama baadae wakarudi kwa kuombwa na wanachama hao hao kama wakina Julio, Kibadeni na hata yeye mwenyewe Matola. Huko mbele ya safari wakihitajika watarudi tu Simba tena kwa heshima kabisa.

Kwa uzoefu wangu mdogo kwenye hizi timu kubwa mbili ukianza kuona mashabiki wanakuzomea na kukutaka uondoke ondoka haraka kaa pembeni ukiendelea kukomaa utaondoka kwa aibu na hutokaa urudi tena kwenye hizo timu. Kama Matola na Babra somo halijawaingia juzi baada ya mechi ya KMC basi wamtafute mtu anayeitwa Lyod Nchunga awape uzoefu wake. Kwani kitakachoenda kutokea kwenye mechi ijayo ya marudiano taifa kinaweza kuwa tukio baya sana iwapo Simba itapoteza Malawi na kuja kupoteza tena hapa kwa Mkapa. Haihitaji sayansi yoyote ile kuona balaa litaklokuja kutokea kwani hata Mo mwenyewe sidhani kama hatatikiswa katika hili.

Na sio lazima waondoke kabisa Simba bali uongozi kama unawahitaji sana unaweza kuwapa majukumu mengine. Matola anaweza kuhamishiwa timu za vijana, umeneja wa timu, simba queens. n.k. Babra anaweza kufanya kazi za kuwa msimamizi wa idara ya masoko/matangazo timu akawaachia watu wenye kuujua mpira na fitina zake waiendeshe. Na watu wa namna hiyo wapo wengi tu pale Simba kama wakina Magori, Mulamu, Kaduguda na wengineo. Simba kama inataka ifike mbali iaachane kabisa na mawazo mfu kuwa wakina Magori, Kaduguda, Mulamu eti watapiga hela hayo mambo yamepitwa na wakati. Kwa sasa taasisi zote makini zinaajiri wahasibu na wakaguzi wa ndani wenye weledi kwa hiyo upigaji pesa kijinga jinga haupo.
 
Dogo una dharau sana. Yaani Yanga ni katimu kadogo kanako chipuka!! Kwa hali hii wacha tu huyo Barbara aendelee kuwanyoosha. Maana hamjitambui.

Msamehe.

Kamejiunga JF mwaka jana, labda kana miaka 13!

Screenshot_20220909-101944_Chrome.jpg
 
Simba niliona hawana uongozi pale walipoanza kusain vijimikataba vya million 200 na vya mabasi mwaka jana nikaona hapa hakuna ceo ni kupuyanga tu

Yale mabasi sijui yapo wapi now..

Halafu walivyoona mikataba ile Haina tija wakaja kufoji mikataba mwaka huu ya Mbet

Simba uongozi ni mavi kabisa kwa Sasa.
 
Back
Top Bottom