Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Iwekwe kanuni kwamba kiongozi yeyote wa kitaifa akiharibu katika awamu yake asikaribishwe kabisa kwenye hafla za kitaifa Wala kuonekana kwenye meza kuu.
Mtu kama amelitia taifa kwenye shida kwanini akaribishwe meza kuu kwenye sherehe za kitaifa.
Nimatumaini yangu sitegemei kumuona Rais Magufuli kwenye hafla za kitaifa baada ya 2020 maana mtakuwa mnatukumbusha machungu ambayo tutakuwa tumeshaanza kuyasahau by that time.