Kenyans wameamka na “good news” kutoka EPRA baada ya diesel kushushwa bei kwa Ksh10.06 per litre. Lakini badala ya shangwe, wengi wanasema hii ni “too little, too late.”
Motorists Association of Kenya wamekataa reduction hiyo wakisema maisha bado iko juu sana. Nairobi motorists sasa watanunua diesel kwa Ksh232.86 per litre huku petrol ikibaki Ksh214.25. Kerosene nayo imepanda by Ksh38 — meaning even nyumba za kawaida zitahisi pressure zaidi.
Kwa ground mambo ni tofauti. Matatu fares bado juu, food prices hazijashuka, na biashara ndogo ndogo zinaendelea kusota.
Common mwananchi anauliza: “Kama mafuta ilishuka, mbona fare na unga bado juu?”
EPRA wanasema walipunguza diesel ili kuzuia fuel adulteration kutokana na gap kubwa kati ya diesel na kerosene. Lakini critics wanasema serikali bado haijagusa root cause heavy taxes on fuel.
Meanwhile, transport strike bado inaendelea in some areas as operators demand more action. Wakenya wengi sasa wanaona fuel prices sio tu issue ya magari ni issue ya rent, chakula, electricity, na survival ya kila siku.
Soma pia A Win for Drivers, a Blow for Families: EPRA Adjusts Fuel Prices