Hatutakubali!

Umoja sio hoja. Kama ishu ni umoja tulikosa nchi za kujiunga nazo? Kuna wazambia huku wamalawi mozambique etc huku mimi naona wako poa zaidi and we share a good history with them.


Kama ni suala la Umoja nadhani tungeimarisha SADC that EAC; Naunga mkono hoja hii kama ni ties; huku Kusini ndiko tuna asilimia kubwa ambapo hata damu yetu ilimwagwa kwa ajili yao!

Naomba kuuliza ; Baada ya EAC tunaendelea kuwa wadau kamili wa SADC?
 

Attachments

Hamtakubali?

Mtakubali tu aisee

As long as Tanzania remains under the yoke of EAC, it would be difficult to dispute your argument that Tanzania is a failed state.

-- Mlenge
 
Kumbe siku zote tunapozungumzia mataifa mbali mbali ya ulaya ni kiini macho tu! Kumbe yote yalikufa nakupotea na sasa kuna nchi moja tu inayoitwa E.U!

Amandla........
 
ngoja nilikalie chini hili kwanza...jumuiya haina tatizo,shida ni wawakilishi/viongozi feki wasiohusisha watalaamu wa maswala ya uchumi,sheria,plannin nk
so sick with them
 
Agree with you mw kijiji

EAC is here to stay.katika ulimwengu wa leo umoja ndio jawabu.

Umoja wa namna hii ambao nchi inajiunga kwa hiari hauna shida, shida ni nchi moja kubwa kuikalia nyengine ndogo bila ya ridhaa ya watu wake.

If you can figure what i mean mdau.
 
5.- ......................!

 


Mkuu Mlenge,

Umekuja na mada nzuri na naomba bila ya jazba wala kashfa nikafahamishwa, huko EAC, mambo ya Zanzibar yasio ya Muungano (JMT), yanasemewa na nani?

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…