ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Habarini wadau wenzangu
Yaani nimesikitika kwa kweli mkuu wa kitengo wetu Melo Kusema kuwa hatutakuwa hewani leo alaisiri mweee mwenzenu naona nitakosa mambo muhimu humu na asijui tutarudi lini tena wanatuondolea uhondo wote jaaaa ila tuko pamoja nao waendeleee kutengeneza mitambo nadhani tutakuja tena kupalizi na kuvuna kwa upya hebu stay tuness wadau wenzangu muwe wapole jamani
Ladyf