ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Aaaaagh! Mi ndo wananiharibia sasa, kuna ishu yangu muhimu hapa...... Daaah!
Hivoo?....safi sana!Kasema itapotea kwa muda wa masaa 5 tu unaweza vumilia mbona sio mengi
Lipo toka kwa MelloSijaona hilo tangazo
Lipo toka kwa Mello
Yangu ipo PM nimeitanguliza Kama Iniesta!!ππππngoja nikachukue no kwa mtu mmoja humu maana hatujui Mda wa kurudi
Njoo subiri hukuHivoo?....safi sana!
Out of topic,sorry,Habarini wadau wenzangu
Yaani nimesikitika kwa kweli mkuu wa kitengo wetu Melo Kusema kuwa hatutakuwa hewani leo alaisiri mweee mwenzenu naona nitakosa mambo muhimu humu na asijui tutarudi lini tena wanatuondolea uhondo wote jaaaa ila tuko pamoja nao waendeleee kutengeneza mitambo nadhani tutakuja tena kupalizi na kuvuna kwa upya hebu stay tuness wadau wenzangu muwe wapole jamani
Ladyf
Wazee wa ibox wanamiahadi yau mda huoKasema itapotea kwa muda wa masaa 5 tu unaweza vumilia mbona sio mengi