Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Hatutasahau Wananchi kusalitiwa na CHADEMA mchana kweupe, hatutasahau CHADEMA kushirikiana na mtesi wetu CCM.
Hatusahau CHADEMA kuikataa hoja ya Wananchi kuhusu mchele kupanda toka Tsh. 1,500 hadi 4,000 kilo moja, Maharage toka Tsh. 1,200 hadi 3,800 kilo moja, Unga kilo toka Tsh. 800 hadi 2,000, nyama toka Tsh. 6,000 hadi 10,000 kilo moja, lakini CHADEMA wanaungana na watesi wetu CCM kulamba asali.
Kesho CHADEMA mtakuja kwetu mkijiliza nasi tutawakumbusha jinsi mlivyoshirikiana na watesi wetu kulamba asali na kutusahau Wananchi.