Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Nyinyi mlizoea siasa za chuki na kutoana roho za Mwendazake Magufuli, mnapoona Rais Samia na Mwenyekiti Mbowe, wanaleta siasa za maridhiano, mnachukizwa Sana!😎Hatutasahau Wananchi kusalitiwa na Chadema mchana kweupe,hatutasahau Chadema kushirikiana na mtesi wetu CCM,hatusahau Chadema kuikataa hoja ya Wananchi kuhusu mchele kupanda toka sh 1,500 hadi 4,000 kilo moja,Maharage toka sh 1,200 hadi 3,800 kilo moja,Unga kilo toka sh 800 hadi 2,000 nyama toka sh 6,000 hadi 10,000 kilo moja,lakini Chadema wanaungana nmlizoea a watesi wetu CCM kulamba asali,kesho Chadema mtakuja kwetu mkijiliza nasi tutawakumbusha jinsi mlivyoshirikiana na watesi wetu kulamba asali na kutusahau Wananchi.
YEHU pekee ndio alifanikiwa kuepuka mtego wa Yezebel alikuwa ametegewa kama angekubali kufanya UZINZI na kahaba yule.Hatutasahau Wananchi kusalitiwa na Chadema mchana kweupe,hatutasahau Chadema kushirikiana na mtesi wetu CCM,hatusahau Chadema kuikataa hoja ya Wananchi kuhusu mchele kupanda toka sh 1,500 hadi 4,000 kilo moja,Maharage toka sh 1,200 hadi 3,800 kilo moja,Unga kilo toka sh 800 hadi 2,000 nyama toka sh 6,000 hadi 10,000 kilo moja,lakini Chadema wanaungana na watesi wetu CCM kulamba asali,kesho Chadema mtakuja kwetu mkijiliza nasi tutawakumbusha jinsi mlivyoshirikiana na watesi wetu kulamba asali na kutusahau Wananchi.
Kwani lazima wafanye Siasa waliowaambia sie tunataka kukombolewa na watuombe kura ni nani mbona sie hatuna habari na hayo mambo Yao [emoji846]Unamsemea nani?,jipiganie mwenyewe, na why utegemee watu wengine wakupiganie?acha upumbavu mkuu,Mh.Lisu kapigwa live bullets zaidi ya 16,wewe umefanya nini?,au ndio kulalama humu kwenye soft landing!,
Kwani lazima wafanye Siasa waliowaambia sie tunataka kukombolewa na watuombe kura ni nani mbona sie hatuna habari na hayo mambo Yao [emoji846]
Kesho Mbowe akibadili gia angani akaanza kudai katiba mpya kwa nguvu na kushinikiza na kutukana CCM jukwaani utakuja kusemaje?Nyinyi mlizoea siasa za chuki na kutoana roho za Mwendazake Magufuli, mnapoona Rais Samia na Mwenyekiti Mbowe, wanaleta siasa za maridhiano, mnachukizwa Sana![emoji41]