Hatutofanya makosa yale ya muungano wa tanzania

Hatutofanya makosa yale ya muungano wa tanzania

Ngekewa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2008
Posts
7,705
Reaction score
1,288
Tanzania maintains position on land ownership issue

THISDAY REPORTER & AGENCIES
Dar es Salaam

TANZANIA has stood its ground on sticky issues regarding land acquisition, travel documents and permanent residence in the latest negotiations aimed at establishing the East African Community (EAC) Common Market.

The new round of talks between experts, which ended in the Ugandan capital, Kampala, on Thursday this week failed to reach a consensus on several outstanding matters.

Julius Onen, deputy secretary-general of the EAC in charge of projects and programmes told Xinhua news agency in an interview that negotiators from Tanzania, Burundi, Rwanda, Uganda and Kenya agreed to forward the outstanding issues to the EAC summit scheduled for the end of this month.

’’We expect that when the summit meets on April 29, it should be able to give it (draft protocol) the blessing,’’ he said noting that the negotiators had agreed on 98 per cent of the draft protocol.

The negotiations which have been running since March 30 were attended by, among others, permanent secretaries and ministers in charge of East African affairs from the partner states.

While the four countries agreed on the draft protocol aimed at establishing the EAC Common Market by January 2010, Tanzania failed to reach a consensus with others.

The country insisted that national identity cards should not be accepted as travel documents within the community because they are not internationally recognized.

Instead, Tanzania advocated for the use of national passports or the East African passports, which could be difficult for residents to obtain.

The other four countries failed to agree with Tanzania on a common position on land acquisition. Tanzania argued that the issue of land is sensitive, which often triggers civil conflicts due to unequal distribution, as members have different land policies and tenure systems.

The others believed that land is an important factor of production and therefore a Common Market issue.

Tanzania disagreed with other countries which favoured a flexible citizenship, in which a national of a member state who resides in another partner state for a particular period of time automatically acquires citizenship of that country.

Tanzania said the issue of permanent residence is not provided for in its Constitution and is a sovereignty issue.

The formation of a Common Market is the second step in the region’s integration process before a monetary union and eventually a political federation. The region has already installed a Customs Union which came into force in January 2005.

According to documents prepared for the five-day negotiations, issues of different land ownership system and the common ID card adoption remain to be solved among member states.

Land is owned by the government in Tanzania while it could be property of individuals in Uganda.

Four countries opt for national ID cards as travel documents, unlike Tanzania, which prefers national or the East African passport.

Onen said an EAC summit set for April 29 is to endorse the final protocol which will then come into force on January 1, 2010.

The formation of a common market will pave way for a monetary union and finally a political federation. EAC has already adopted a customs union.

The Tanzanian government has maintained that it would not sign the EAC Common Market Protocol later this month if the document does not meet its expectations.
 
Sasa Kenya wamewapa matajiri ardhi yao yote ili wakimbilie hii ya Tz! No way!

Wote hawana ardhi wanaikodolea ardhi ya Tz!
 
Sidhani kuwa watawala wetu wanabeba hisia na matakwa ya watanzania. Ni wazi watawala wetu wanajihofia zaidi kuliko wanavyohofia wananchi kupoteza haki zao iwapo Tanzania itakuwa ndani ya soko la pamoja. Aidha nadhani msingi mkuu wa hofu yao ni kwa Tanzania kutokuwa na agenda wala mkakati wa kitaifa kuhusiana na soko la pamoja. Wanashindwa kuona maslahi yao ya moja kwa moja ndani ya mfumo wa soko la pamoja.
Kama serikali hii hii iliweza kuuza/kumilikisha ardhi yote yenye madini katika mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Mara, Kagera na Singida kwa James Sinclair, rafiki mkubwa wa rais Kikwete, na hatimaye kuingia mikataba ya ovyo/siri na mabeberu (wazungu) wachimba madini bila kujali matakwa ya watanzania, vipi leo watuzuge kuwa wanakatalia ardhi kuwa chini ya soko la pamoja! Ni waongo!
Mbona walipobaini kuwa na maslahi ya moja kwa moja katika wizi wa Benki Kuu/EPA hawakujali maslahi ya watanzania? Ni waongo hawa! Warudi kwa watanzania tuwape agenda na kuweka mkakati wa pamoja wenye kulenga kunufaisha taifa hata ardhi ikiwekwa chini ya soko la pamoja sambamba na uraia mseto na vitambulisho.
Hakuna wanayemwakilisha kwa sasa, zaidi ya hisia zao!
 
Sasa Kenya wamewapa matajiri ardhi yao yote ili wakimbilie hii ya Tz! No way!

Wote hawana ardhi wanaikodolea ardhi ya Tz!

faida za nyerere hizo........

mimi nilizania TZ iko tiyari kwa ubepari kumbe bado

kwi kwi kwi
 
Sasa Kenya wamewapa matajiri ardhi yao yote ili wakimbilie hii ya Tz! No way!

Wote hawana ardhi wanaikodolea ardhi ya Tz!

Sasa hiyo ardhi ya Tanzania Je wanapewa watanzania maskini wasio na ardhi au wanapewa wageni kutoka ulaya? Tayari ardhi ya bonde la mto Rufiji wamepewa makampuni ya kuzalisha biofuel. Uliona wapi ardhi nzuri inayofaa kwa kilimo cha mazao ya chakula inakuwa ya kuzalishia mazao yasiyoyachakula na huku huna chakula cha kutosha? Hii ndio ardhi ya Tanzania inayoliliwa na kulindwa na viongozi. kwa mgongo wa watanzania, wanazuia ardhi isiende kwa wageni kutoka kenya au nchi nyingine za Afrika mashariki. Hapo hapo sijamsikia hata kiongozi mmoja akitangaza kuwa kuna ardhi mahali fulani kwa ajili ya kilimo, watanzania wenye nia ya kuzalisha na ambao hawana ardhi wajitokeze ili wapewe hiyo ardhi. Sanasana tunaona makampuni ya kigeni yakipewa ardhi bila shida yoyote na mara nyingine selikari innatumika ili kufanikisha kuwahamisha watu katika maeneo yao.
 
[/SIZE]

Kuwahamisha watu katika maeneo yao. Hiyo haiwezekani kiholela. Ardhi hiyo -it is their fundamental right;. Lakini Dola (State) ina fursa ya milki ya ardhi yote katika himaya yake. Hivyo inapojiri eneo lina mali ambayo ni classified kwamba ni mali ya Kitaifa (such as gold and other minerals) Taifa linabidi liiingie katika makubaliano ya kuwaondosha watu (kwa ridhaa yao) katika eneo lao ( ambalo pia ni laTaifa)ili mali iliyopo katika eneo hilo ichumbiliwe na kutumika kwa faida ya Taifa lote. Hii ni nzuri tu . God bless Nyerere kwa kutushawishi tuiweke hii. Usitufananishe na Kenya bwana!
 
Its their fundamental right kwenye makaratasi, linapokuja suala la la kuhamishwa ili wapishwe wenye fweza, wananchi wanatimuliwa kwa kulaghaiwa. Nenda Mwendakulima, Mwime, Chapulwa (kahama), Nyakabare, Mtakuja (Geita) kasikie malalamiko ya wananchi kuhusu fidia wanazolipwa baada ya kuhamishwa. Rufiji hali inayoendelea ni hiyohiyo. Kwa kutumia umaskini wa wakulima, ardhi nzuri yenye rutuba inachukuliwa kwa ajili ya mazao ya biofuel.

Nakubaliana nawe kuwa Nyerere alihakikisha kuwa wananchi wakawaida wanapewa kipaumbele kumiliki ardhi. Nami namshukuru kwa hilo. Ndio maana wakati wake kulipokuwa na uhaba wa ardhi Kilimanjaro, watu walihamasishwa kuhamia maeneo mengine, na waliambiwa maeneo yepi yana ardhi. Je kwa hivi sasa kiongozi gani anawahamasisha wananchi wenye uhaba wa ardhi wayahame maeneo yao na kuwaelekeza wapi pa kwenda? Hivi sasa tuna uhaba wa ardhi Meru, Rungwe, Kilimanjaro, Mbeya vijijini n.k., kiongozi gani anawapa taarifa wananchi waliopo kwenye maeneo husika kuwa sehemu fulani kuna ardhi ya kutosha waende huko?
 
Kuwahamisha watu katika maeneo yao. Hiyo haiwezekani kiholela. Ardhi hiyo -it is their fundamental right;. Lakini Dola (State) ina fursa ya milki ya ardhi yote katika himaya yake. Hivyo inapojiri eneo lina mali ambayo ni classified kwamba ni mali ya Kitaifa (such as gold and other minerals) Taifa linabidi liiingie katika makubaliano ya kuwaondosha watu (kwa ridhaa yao) katika eneo lao ( ambalo pia ni laTaifa)ili mali iliyopo katika eneo hilo ichumbiliwe na kutumika kwa faida ya Taifa lote. Hii ni nzuri tu . God bless Nyerere kwa kutushawishi tuiweke hii. Usitufananishe na Kenya bwana!

The argument seems to be getting lost.
Dhahabu tumepata nini sasa? dola 3 kwa kila dola 100? Soma ripoti:'Breaking the Curse: How Transparency Taxation and Fair Taxes can Turn Africa's Mineral Wealth into Development' iliyozinduliwa mwishoni mwa March 09.
 
Mwalimu Nyerere wakati wa kugombea uhuru si alikuwa na lengo la kuunganisha nchi za Afrika Mashariki na hili la ardhi hakulipa umuhimu kwenye muungano huo. Tuungane na wenzetu wa Afrika mashariki ili tusaidiane kwa kila mmoja alichonacho.Hiyo si faida ya Muungano? Muungano tulionao sasa ni mfano kwa Afrika na huu wa Afrika Mashariki utakuwa Mkubwa wenye sifa zaidi.
 
Back
Top Bottom