October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Kwahiyo meamua kulinajisi katiba yenu Kwa kiburi na jeuri mkaona liwalo na liweNa bado!
Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!
Na bado
Unajua maana ya demokrasia wewe?Na bado!
Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!
Na bado
Kwa mara ya kwanza tuna mgombea ambaye hata watoto wadogo hawamkubali.
Tutahama tutakuacha shauri yako!Na bado!
Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!
Na bado
Kwani wewe huogopi,hivi uanachama wako namba ngapi vile?Sisi CCM damu hatutafumbia macho demokrasia kuyumbishwa,hatutakubali kiongozi kusimama mwenyewe kama pembe la faru