Huu mwandiko wa darasa la ngapi? Kama huna hata kigezo cha "kujua kusoma na kuandika" basi huna chako ndani na nje ya chama, nchi na serikali.Na bado!
Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!
Na bado
Huu mwandiko wa darasa la ngapi? Kama huna hata kigezo cha "kujua kusoma na kuandika" basi huna chako ndani na nje ya chama, nchi na serikali.
Mwandiko wa la 7 C. Sifa ni kujua kusoma na kuandika yanayosomeka.Na bado!
Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!
Na bado
wanashupaza shingo.., watavunjika mara....
Naunga mkonyo hoja wajumbe hawaaminiki komredNa bado!
Kama mlidhania tutarudi nyuma, mtazimika! Fomu hatutaziwachia, na hakuna cha kufanya. Hamtaki? Hamaneni chama! Hii nchi ni ya kidemokrasia, sio lazima mkaye CCM. Hamaneni! Hatutawazuia, lakini fomu za urais, hatutoi!
Na bado
Huyu mzee alijua haya miaka mingi ilopita…