Serikali Na wadau wa elim wanajitahidi katika kuweka miundombinu wezeshi ili kuiboresha elim ya Tanzania kuweza kuendana Na Soko la Ajira Ambalo Kwa Kiasi Kikubwa bado Tanzania ipo Nyuma Ukilinganisha Na Nchi nyengine za Afrika. Pamoja na Jitihada hizi Haya Ndio mambo Ambayo Yataendelea kuikandamiza elim ya Tanzania Kama Tutaendelea Kuyapuuzia.
1. KUMSAHAU MWALIM; Serikali inajitahidi kujenga vyumba vya madarasa lakini mazingira wanayo ishi walim wanao ingia kufundisha katika madarasa hayo sio wezeshi kwao kutoa elimu bora. Kukosekana kwa vitendea kazi, mishahara isiopanda,na makazi duni ya walim ni chanzo cha kupata Elimu Mbovu na isio na Tija Kwa Tanzania.Tukitaka Kuboresha Elim Ya Tanzania Kwa Miaka 5 hadi 20 ijayo basi Tuanze Kumtazama Mwalim Kwanza pamoja na maslahi yake
2. MATAMSHI YA WANASIASA YASIO ENDANA NA UHALISIA WA ELIM YETU; Sio mara ya kwanza kuona sekta ya elim ikiingiliwa na wanasiasa na kutoa matamshi ambayo yanavunja kabisa mioyo ya walim wanao ipambania Elim ya Tanzania, Na wakati mwengine matamshi ya viongozi hawa wa kisiasa yanapelekea mabadiliko ya mara kwa mara ya mitaala ambayo haikidhi uhalisia wa kiwango cha elim Ya Tanzania Katika soko la ajira. hivyo Lazima Viongozi wenye dhamana na Nchi ya Tanzania Wawe wakali Kwa Wanasiasa ambao wanapewa dhamana ya kuongoza Taasisi mbalimbali za Elim ili Matamshi yao yasi athiri sera ya Elim na Dira ya Tanzania Katika Ukuzaji wa kiwango cha elim kwa miaka 5 hadi 20 ijayo.
3.MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA UFUNDISHAJI; Pamoja na jitihada zinazo wekwa na serikali katika kuwezesha matumizi ya TEHAMA(Teknolojia ya Habari Na Mawasiliano) katika ngazi ya elim ya msingi na sekondary lakini bado inaonekana kama TUNAPUUZIA Katika Kuweka mkazo juu Ya TEHAMA. Hali hii kama itaendelea hivi baada ya miaka 10 au 20 mbele tutandelea kuzarisha wasomi ambao wapo nyuma ya Teknolojia na hii itaathiri kuaminika kwao katika soko la ajira hasa kwenye upande wa kimataifa, Hivyo nivema sasa wadau wa elim na Serikali Kuweka Mpango mkakati ambal utaziwezesha shule zote ngazi ya msingi na sekondary ziweze kutumia TEHAMA kikamilifu na bila kusahau kuwawezesha walim wawe na uwelewa na namna ya ufundishaji wa masomo hayo, Kama Tutazingatia TEHAMA, Tutaweza badili Elim Ya Tanzania Ikawa na Viwango vya juu Na Kuaminika Katika Ngazi ya kimataifa kwa miaka 5 hadi 20 ijayo.
4. KUSHIRIKISHA WANANCHI KATIKA UANDAAJI WA SERA ZA ELIM; Jukumu la kuandaa sera za elim na mitaala inayo kidhi mahitaji ya Kupata Elim bora linaonekana kuwekwa mbali na wananchi, Hamna vikao katika ngazi ya halmashauri vinavyo shirikisha wanachi katika utoaji wa maoni yao juu ya Sera ya Elim Ya Tanzani, Hili Tunalipuuzia kwa kuamini kuna wawakilishi wasomi ambao wapo kwa ajili ya mambo hayo, lakini Wananchi wana nafasi kubwa katika kuendeleza Elim yao wenyewe. Mbali na Kuwahamasisha wachangie ujenzi wa madarasa na matundu ya Choo, ni muda sahihi sasa kuwashirikisha ili kupata mawazo yao juu ya mabadiliko ya sera za elim kulingana na mahitaji husika. hivyo Kama tunahitaji Kuboresha Elim yetu kwa miaka 5 hadi 20 ijayo basi ni muhim turudi katika utaratibu wa kupata maoni ya wanachi juu ya Elim wanayo ipambania.
5. ELIMU KWA VITENDO NA VIWANGO VYA UFAULU; Mfumo wa elim uliopo sasa haumuwezeshi mwanafunzi kutoka na ujuzi fulani au kuwa mbunifu wa kitu fulani na hii inatokana na ufundishaji unaojikita katika nadharia zaidi kuliko vitendo, Hii inamfanya mwanafunzi hata mara baada ya kumaliza masomo ashindwe kujiajiri kutokana na kile alichosomea na hapa tunaandaa kizazi cha wasomi wanao tegemea kuajiriwa na sio kujiajiri. Hivyo Kama tunahitaji Kuboresha Elim yetu kwa miaka 5 hadi 20 ijayo hatuna budi kuanza kusuka upya mitaala na sera za elim ili kuachana na ufundishaji kwa nadharia bali tujikite katika kutoa elim kwa vitendo na kuweka Viwango sahihi Vya ufaulu ili kuendana na ubora wa elim na sera mpya za Elimu.
MWISHO
Kama Tuna dhamira ya dhati ya kubadili Ubora wa elim yetu ya Tanzania ili iendane na uhalisia wa soko la ajira la sasa, Hayo mambo 5 tunapaswa kuacha kuyapuuza, badala yake tuyazingatie ili kuleta tija katika mabadilko ya sera na ubora wa elim ya Tanzania kwa miaka 5 hadi 20 ijayo.

Upvote
1