MAAMUZI MAGUMU
Member
- Sep 13, 2011
- 11
- 5
Rekebisha heading mkuu!Ndugu wana JF. Walichokifanya Wazungu ni kutusihi kutambua haki za mashoga ambao tunao. Hatuwezi kulikataa ombi lao kwa kuwa mashoga tunao katika jamii yetu na hakuna jutihada zozote za hata kuwakemea au kuwaelimisha kuacha uchafu wao. Tunawalea wenyewe na vile vile kuna wapuuzi wanaofanya nao mapezi. Tuwaondoe mashoga kwanza ndio tukatae maombi ya wazungu.
Hapo ndipo naona umuhimu Sharia ,sijui nchi ya kiislamu Zanzibar kwa hili mbona wamekaa kimya ,hata huku bara mabingwa wa maandamano mbona nao kimya au wanaandamana t hijabu ya mkuu wa wilaya inapovuliwa na wapambe wa ChademaNdugu wana JF. Walichokifanya Wazungu ni kutusihi kutambua haki za mashoga ambao tunao. Hatuwezi kulikataa ombi lao kwa kuwa mashoga tunao katika jamii yetu na hakuna jutihada zozote za hata kuwakemea au kuwaelimisha kuacha uchafu wao. Tunawalea wenyewe na vile vile kuna wapuuzi wanaofanya nao mapezi. Tuwaondoe mashoga kwanza ndio tukatae maombi ya wazungu.
Hapo ndipo naona umuhimu Sharia ,sijui nchi ya kiislamu Zanzibar kwa hili mbona wamekaa kimya ,hata huku bara mabingwa wa maandamano mbona nao kimya au wanaandamana t hijabu ya mkuu wa wilaya inapovuliwa na wapambe wa Chadema
Kuna wizi unaendelea katika jamii, je hiyo inamaanisha kuwa serikali inakubali wizi? Kuqwepo kwa ushoga haimaanishi kwua serikali imeubariki kama ambavyo hao waingereza wanataka ifanyeNdugu wana JF. Walichokifanya Wazungu ni kutusihi kutambua haki za mashoga ambao tunao. Hatuwezi kulikataa ombi lao kwa kuwa mashoga tunao katika jamii yetu na hakuna jutihada zozote za hata kuwakemea au kuwaelimisha kuacha uchafu wao. Tunawalea wenyewe na vile vile kuna wapuuzi wanaofanya nao mapezi. Tuwaondoe mashoga kwanza ndio tukatae maombi ya wazungu.