Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Kwa nini tunaendela kujidanganya kwamba kuendelea ndo kutatusandia kutatua matatizo yetu?

Nani ambae hajui kilio cha watanzania ni Katiba mpya, Utekaji, mauji, Ufisadi, rushwa TUME huru ya Uchaguzi.
Watanzania kwa sasa wanahitaji kuweka viongozi wao wanao wataka kupitia box la kura sasa hizi propaganda Sio msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…