Hatuwezi kuuimba kwa dizain yetu?

Hatuwezi kuuimba kwa dizain yetu?

Greater thinker

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2011
Posts
286
Reaction score
38
jaman me naona ingefika wakat tungeuimba huu wimbo wa cku ya kuzaliwa(happy birthday) kwa kswahil?so mwenye uwezo mzur wa kuimba na saut ebu apge extended version kwa kswahil na atuwekee hapa jukwaani..ili 2we tuna u-imba..
 
Back
Top Bottom