Greater thinker JF-Expert Member Joined Sep 12, 2011 Posts 286 Reaction score 38 Sep 16, 2011 #1 jaman me naona ingefika wakat tungeuimba huu wimbo wa cku ya kuzaliwa(happy birthday) kwa kswahil?so mwenye uwezo mzur wa kuimba na saut ebu apge extended version kwa kswahil na atuwekee hapa jukwaani..ili 2we tuna u-imba..
jaman me naona ingefika wakat tungeuimba huu wimbo wa cku ya kuzaliwa(happy birthday) kwa kswahil?so mwenye uwezo mzur wa kuimba na saut ebu apge extended version kwa kswahil na atuwekee hapa jukwaani..ili 2we tuna u-imba..