Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Wakati sisi mtaani Ni wakwanza kuuza vyuma chakavuHatuna chuma mkuu, tutazalisha na nini? Tuzalishe chuma kwanza
Hahahaaaa huwezi endesha viwanda kwa kutegemea malighafi ya chuma chakavu, labda utengeneze nondo na vitu vidogoWakati sisi mtaani Ni wakwanza kuuza vyuma chakavu
Ndiyo technology si tunasema china ni rafiki yetu .Unadhani ni rahisi kuiba tec za watu eenh?? Its not about manufacturing, its technology that matters.
Ndiyo technology si tunasema china ni nchi rafiki na Tz.Ndiyo huo urafiki utumike .Unadhani ni rahisi kuiba tec za watu eenh?? Its not about manufacturing, its technology that matters.
Leganga na mchuchuma?au haya maeneo yapo Kenya?Hatuna chuma mkuu, tutazalisha na nini? Tuzalishe chuma kwanza
Ulishajiuliza uwezo waliokuwa nao vijana wetu katika kufanya matengenezo,hapa nazungumzia mafundi pikipiki ambao wengi wao hawana shule kivile ila anauwezo wa kuichambua pikipiki kama imetengenezwa Tz.Kupitia maarifa hayo hayo sasa tuunde zetu na tuzipe majina yetu ya asili.Kama Simba motorcycle, Serengeti motorcycle n.k,nchi kama Burundi na Congo zinaweza kuwa soko letu kubwa kwa sababu ya ujaribu tuliokuwa nao hivyo hata gharama nayo itakuwa chini .Watanzania watapata ajira mbali mbali kupitia viwanda hivyo.Tukiamua tunaweza.Tutengeze spare parts kwanza kabla ya kuwaza kutengeneza nzima nzima
bhana kila mtu anadhani yeye ni great think kumbe andazi.Hivi serikali haiwezi kuchukua vijana wetu tukawapeleka china kwenda kujifunza utengenezaji na uundaji wa pikipiki?
Mkuu toothpick zinazaliswa tanzaniaToothpick mmeshindwa ndio iwe Pikipiki ?