Hauja-hustle ili uwe mkombozi wa mwanamke mjinga

Robert Downey jr. alikuwa teja lakini sasa ni moja ya waigizaji wakubwa duniani.
Thamani ya mwanamke ni mwili wake na thamani ya mwanaume ni mali.

Mwanamke na mwanaume wanavyoingia kwenye age ya ujana kwa pamoja basi thamani ya mwanamke inakua juu ukilinganisha na thamani ya mwanaume kwasababu katika kipindi hicho mwanamke anakua kwenye kilele cha uzuri wake wakati mwanaume anakua ndio anaangaika kujitafuta.

kadiri miaka inavyoenda thamani ya mwanamke inashuka kwa sababu uzuri unapungua na thamani ya mwanaume inapanda kwa sababu hustles zake zitaanza kulipa kidogo kidogo,

Mwanamke na mwanaume hao hao wakikutana kwenye 30s thamani ya mwanaume itakua juu wakati thamani ya mwanamke itakua imeshuka chini

kwaiyo usifananishe mapito ya mwanaume na mwanamke kwa sababu nature itamuhukumu mwanamke kutokana na muda wakati itamuhukumu mwanaume kutokana na mafanikio.
 
Usiyaseme haya nje ya Jf watakuroga
 
Kuna watu wakiona ID yako wanaishia kusonya tu 😊
 
Wote wakiamua kutunza bikra, uchovu tutatolea wapi mzee, relax.

The past is history, the future is a mystery.
Ofcourse binadamu hatuwezi kuwa uniform na wala sijasema hautakiwi kutomber. Hustle kutafuta hela na utakapozipata don't settle for less.

Retired hoes, undercover prostitutes, single mothers, ferminists, bed to bed midfielder and all other evil and demaged bitches are just for pipe and swipe.

After you have been enjoyed your prime enough now you want to settle with one lady then go for an innocent and fresh woman
 
Nipo hapa kuzidi kupata nondo za uwakika day after day
 
Ni kweli mkuu, mapito ya mwanamke na mwanaume ni tofauti na nature itawahukumu kwa vigezo tofauti.
 
Umri sio kigezo, una settle na mtu unayempenda. 30 haina shida wala.

Hii theory ya sexual market value inatumika sana na wanaume wenye vinyongo vya kukataliwa.

Umri na mvuto ni vigezo ambavyo hata havihusiani kama vipi tupige kura hapa tuone kama wanaume wa over 30 wanatongozwa na wanawake 24/7 au kama wanawake wa over 30 wanaonekana ni majini.
 
Wakijitunza wote sisi tutaishi vipi?
 
Nadharia reja reja ulizozitoa kwa kuangalia maudhui ya kipumbavu ya kina Andrew Tate na Kevin Samuels.
When men are talking, kurusha tuhuma bila kuwa na ushahidi ni tabia za kike, huyo Andrew tate ushawahi kumsikia akisema hivo?? Huyo Kevin Samuels ushawahi kumsikia akisema hivo? Niletee proof.

Knowledge nilitoa hapo juu nimeitoa kwa mwanamama mmoja msaikolojia anaitwa Sadia Khan, and it's scientific, sasa mimi na wewe nani ana nadharia za rejareja??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…