Hauja-hustle ili uwe mkombozi wa mwanamke mjinga

Hili vijana wa generation Z wanaotaka kuoa hawawezi kulielewa,......πŸ˜€πŸ˜€,---wanawaza kucheza Amapiano tu kwenye harusi
 
haya madini,.....Leo yameniingia hadi kwenye medula oblongata.........wazungu Wana msemo wao "you can take a whore out of the street but you can't take street out of the whore"........sex kwa mwanamke ni more emotional than physical........learn or perish
 
Hii inaitwa weka jiwe mi naweka na chuma,ile vitani mtu kakupiga na jiwe tu wewe unamrushia "grenade" ,ubaya ubwelaπŸ˜€πŸ˜†πŸ˜†
 
Pamoja na kua wewe ni anti-SIMP ila una uelewa mkubwa sana wa maisha......mademu wanaosupport usagaji kama Jadda ,.......wakiona mada kama hizi machozi yanawatoka kama wanamenya vitunguuπŸ˜†πŸ˜†
 
Very true, Good Example ni Nandy & Bilnass, Nandy alimuacha Bilnass akaenda kwa ruge kwa maslahi binafsi, baadaye mambo yalivyo haribika akarudi kwa bilnass
 

Kitu ambacho unakosea katika mada zako ambazo kwa asilimia kubwa una hoja za msingi ni kuendeleza ombwe la uzinzi. Katika mada zako za kuwazindua vijana ungekuwa una wahimiza kuacha uzinzi ingeleta natija sana.

Yaani kauli mbiu yako ingekuwa hivi "Mwanaume usimuhudumie mwanamke ambaye si mkeo na kataeni uzinzi." Hakika mada zako zingeleta natija sana.

Sasa unapo himiza vijana wawachezee na kuwaacha hao wanawake wenye sifa za umalaya na mfano wake, ni kama unawapoteza zaidi sababu hawatatoboa sio wao bali hata wewe. Sababu asili inawaweka pamoja wale wanao fanana kwa tabia na mienendo.

Kwahiyo endelea kukitengeneza kiti chako kwanza kabla ya kukipamba.
 

Hapa sasa mdogo wangu unakosa ile sifa ya uanaume. Mwanaume lazima asimaie maadili sababu daima yeye ni kiongozi juu ya mwanamke na wale ambao wako chini yao. Kwa mtindo huu hata wewe huwezi kutoboa mzee, sababu asili haitaki watu wazembe na wazandiki, sababu mambo haya hayatengani.

Hata hekima ikitoka kwa mtu mwenye akili na mwema hupata kabuli na huleta taathira.

Japokuwa nia yako ni njema kuwazindua vijana ila inakosa njia nzuri ya ukosoaji wa mambo, ndio maana makosa yako yanaonekana kwa wazi sana.
 
Sipo hapa kufundisha maadili,

Hiki unachokifanya ni katika maadili, labda huenda hujui maana ya tamko maadili. Kuwazindua watu katika yale makosa na kuwafanya wawe makini ni katika maadili pia.

Kwa ufupi kazi unayoifanya ni nzuri ila inakosa murua. Ulitakiwa upige kote kote, yaani utengeneze pembe zote.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
When a gentleman draws meaningful implications.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…