Hauja-hustle ili uwe mkombozi wa mwanamke mjinga

Uwii, ndo vile yuko moyoni mkuu. Ila I'll do my best nimteme tu.
Single mother wengi wao wanatoa mahaba mazito ili tu uingie kwenye mfumo wake ili kumpima ni mtu wa aina gani jaribu kutomsaidia shida zake ikiwemo mtoto wake angalau kwa mwezi uone atakuwa anabehave vipi anza na hapa kwanza. Tatizo lenu mnaingia kichwa kichwa mwanamke unatakiwa umpime kwenye mengi ili ujue ni sahihi kwako
 
Mimi sipo hapa kuhubiri masuala ya dini au kufundisha maadili, naeleza ukweli kama ulivyo, niwaambie wadogo zangu waache kupeleka moto wakati mimi mwenyewe hivi vidada mapepe vikiingia kwenye anga zangu navipelekea moto hapo ndio nitakua mnafiki.

Kuna mambo inabidi unielewe, mimi sikatazi kutomber, msimamo wangu ni kwamba kijana tomber as much as you can afford physically and financialy laikni linapokuja suala la ku-settle na mwanamke mmoja kwa lengo la kutengeneza familia hapo ndipo unatakiwa kufikiria mara 10, kwa sababu hapo unachagua mwenza wa maisha sio mwenza wa kufanya nae sex kwa nusu saa tu.
 
Sawa nitazingatia unachosema lakini kama ukiona kuna sehemu nakosea unaweza kufanya wewe unachoona ni sahihi zaidi, jf ni jukwaa huru kwaiyo sio lazima kila angle niiguse mimi
 
Maneno mazuri. Asante kwa hili mkuu
 
Hapa kwenye ubikra niwatetee wanawake.
Sio kila mwanamke ambaye sio bikra basi ni malaya noop nakataa.
Wanaume sisi unaweza mkuta binti bikra na ukamuharibu kesha ukamuacha.
Ila huyo binti akiwahi kuolewa haimaanishi hatotulia katika ndoa yake na kuwa mke mwema.
Mbona kuna wanawake wameolewa mabikra na mwisho wa siku wanatoka nje ya ndoa??
Wengine wanafanyiwa michezo michafu wakiwa wadogo pasi na kuweza kujitetea.
Ubikra sio kigezo cha mwanamke aliyetulia mkuu.
Nina mifano kadhaa ya jamaa zangu waliooa bikra at the end wanagongewa hadi kwa mpalange.
 
Mwanamke sahihi ni yule mwenye tabia njema kadhalika na mwanaume sahihi ni yule mwenye tabia njema.
Nakuunga mkono kwenye hili, hii kasumba ya kuoa bikra sijui wanaitoa wapi sijui nani kawadanganya ukiwa bikra ndio kila kitu kumbe unaweza ukawa sawa ni bikra kwenye angle ya kutumika vipi sasa kuhusu sifa zingine ambazo ni muhimu zaidi kuliko hata bikra yake, kuna thamani gani ukaoa bikra ambaye sio mtiifu, kiburi, low minded,hana adabu n.k
 
Nadhani point ya bikra ni nidhamu na kujidhibiti tamaa kwa mwanamke. Mwanamke akiwa na bikra anaonesha kua na hizo sifa.

Siungi mkono kua bikra iwe ni kipimo pekee cha kumjua mwanamke bora lakini naamini aliyeiweka pale alikua na sababu
 
Ukiachana na hilo la sifa zingine.
Tunaangalia kwenye kutulia.
Unaweza kuoa bikra kumbe umeoa MALAYA MTARAJIWA.
Ile wewe umefungua dimba huko nje akakutana na michezo migeni ukawa unagongewa kila leo.
 
Mimi sipo hapa kuhubiri masuala ya dini au kufundisha maadili, naeleza ukweli kama ulivyo, niwaambie wadogo zangu waache kupeleka moto wakati mimi mwenyewe hivi vidada mapepe vikiingia kwenye anga zangu navipelekea moto hapo ndio nitakua mnafiki.
Ndio maana nikasema wewe mtoa mada una ufahamu mdogo katika kanuni za kutengeneza mambo, ndio maana hata wewe katika hili huwezi kutoboa, sababu kitendo Cha wewe kukiri kuwapelekea moto hao mapepe na wewe ni katika wale wajinga wazandiki wasio jitambua, bali wewe ndio mjinga zaidi unajihusisha kwenye matokeo na kuacha chanzo. Lazima utangukia pua.

Hili ni tatizo lingine la wewe kutokujua maana ya neno maadili na nini unachokifanya. Usibishane katika hakuna kijana.

Haya unayoyasema wewe sio wa kwanza ndio maana nakwambia una nia njema ila unakosea njia.

Asili unayo iongelea wewe, hata wewe inakuhukumu kwa kukosea njia.

Ndio maana nasisitiza ya kuwa, tengeneza kiti chako kwanza kisha ukipambe, kwa mwendo huu hutapata mwanamke mwema zaidi ya yule unayefanana nae, ubaya hilo hutaweza kuja kulisema hapa.
 

Hapa ndipo ulipofeli sababu msingi wa harakati zako unaanzia hapa, na kibaya zaidi hujui hilo. Hili ni tatizo la kwanza, na ni ujinga kujadili jambo ambalo chanzo chake hukijui.

Kamwe hili haliwezi kutokea, huwezi lazima utakuja kulipia madeni ya hao wao ulio wazini. Vijana mnafeli sana katika hizi harakati zenu.

Kwa ufupi mdogo wangu hujielewi, ulitakiwa uhakiki kwanza, uzuri wa uzinzi kujua ubaya wake hakuhitani dini, bali matumizi mazuri tu ya ajili.

Kwa mtindo huu usitegemee kupata mwanamke aliye tulia kama hukemei uzinzi, lazima utaipata wa kufanana nae. Ulimwengu haujawahi kumuonea mtu Wala kumdhulumu.
 
Ila mkuu kumbuka binaadamu sio kama ngombe binaadamu hubadilika people reform......Obama alishawshi kua mvuta bangi ila akaja kua Raisi wa nchi kama US.
Una uhakika aliacha kuvuta bangi?
 
Sawa nitazingatia unachosema lakini kama ukiona kuna sehemu nakosea unaweza kufanya wewe unachoona ni sahihi zaidi, jf ni jukwaa huru kwaiyo sio lazima kila angle niiguse mimi

Na ndio hicho nakifanya Sasa, narekebisha pale unapokosea tena katika sehemu husika ambayo ni hii.

Kwa upande wangu kazi yangu nimeimaliza. Tuko pamoja.
 
Mkuu exceptions zipo kwenye kila kitu lakin hauwezi kutumia exception kufanya general conclusion,

mfano, katika taasisi nyingi hawaajiri mtu aliyewahi kufungwa jela maana kitendo cha kukutwa na hatia iyo red flag kwenye uadilifu wa uyo mtu lakini wote tunajua kwamba wapo ambao wanafungwa kimakosa.

There is exception in everything but exceptionality don't count when we make rules.
 
No one is perfect but choose the one who atleast she is close to perfection
 
Nadhani point ya bikra ni nidhamu na kujidhibiti tamaa kwa mwanamke. Mwanamke akiwa na bikra anaonesha kua na hizo sifa.

Siungi mkono kua bikra iwe ni kipimo pekee cha kumjua mwanamke bora lakini naamini aliyeiweka pale alikua na sababu
Watu wanatetea tu maamuzi yao indirectly lakini ukweli ni kwamba linapokuja suala la kioimo cha maadili ya mwanamke basi mwanamke bikira na used hawawezi kuwekwa kwenye mzani sawa
 
Kwani tunabishana nini mkuu? Hakuna haja ya kushindana nani yupo sahihi zaidi, lazima tukubaliane kutokukubaliana na huo ndio uungwana. Wewe mwenye ufahamu mkubwa haujakatazwa kuandika thread yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…