Hauja-hustle ili uwe mkombozi wa mwanamke mjinga

Nilipofika kwenye mwanamke mwenye thamani kubwa alietunza bikra yake nikaishia hapo...🫷Illusion😬

Generally: Hauja-hustle ili uwe mkombozi wa mwanamke mjinga📌
 
Na ndio hicho nakifanya Sasa, narekebisha pale unapokosea tena katika sehemu husika ambayo ni hii.

Kwa upande wangu kazi yangu nimeimaliza. Tuko pamoja.
Katika uko kurekebisha kubaliana na ukweli kwamba kila mtu ana mawazo yake, kwaiyo ukipewa challenge usianze kuita watu hawana ufahamu kwa sababu mawazo yako wewe sio kanuni ya maisha hapa duniani.

Nafikiri wewe mwenyewe umeona comments za wote wanaounga mkono nilichoandika kwaiyo usifikiri wewe ndio una akili na uzoefu wa maisha zaidi yao wote.

Turekebishane, tupeane challenge, tuelekezane na pale ambapo hatutakubaliana basi tukubaliane kutokukubaliana.
 
Hiyo kauli ni sawa na unazunguka mbuyu tu kaka.
Ila suala la jela kuweka mfananisho na ubikra ni mambo mawili ambayo hayawekani mizani sawa.

Utulivu wa kitabia ama utulivu wa mtu hauhusiani na ubikra mkuu.
Hauhusiani hata kidogo hata upunje.
Kwasababu sisi sisi wanaume ndio tunavunja hizo bikra kwa kusingizia tutaoa.
Ukishavunja bikra ya mtoto wa mtu kwa kumdanganya utamuoa unamkimbia.
Yani sisi sisi ndio waharibifu halafu tunataka vilivyo vizima.
Acheni kudanganyana mabinti mtawaoa halafu muone kama hamtapata bikra nyingi.
Papo hapo huyo unayemuoa mtizame kama ana stamala ama laa.
Laa sivyo utakua unaoa malaya ajaye tu.
 
Sijui umri wako lakini nafikiri unaweza kuwa bro wa makamo hivi let say 35+, unajua mabroo mnavyotoa mawazo/ushauri kuhusu masuala ya mahusiano kuna sehemu huwa mnakosea sana.

Mnaongelea haya masuala kwa kutengeneza taswira ya tolea la binti wa kizazi chenu ndio maana mara nyingi mnayoyaongea yanaonekana hayapo relevant na kinachoendelea huku ground na hapa ndipo tunashindwa kuelewana mimi na wewe.

You are talking based on the past while am talking based on current situation

Nakuakikishia kijana wa kiume ambae yupo 18-29 akisema ayafanyie kazi mnayaongea hivi vibinti vya elfu 2 vitampiga kama ngoma. Tupo katika kizazi hatari sana kwa simps na nice guys.

Mnatakiwa kujua kwamba zama zimebadilika, binti wa kizazi chenu ambaye alikua na maadili, haiba ya kike na anayapa heshima mahusiano ya kimapenzi sio binti wa kizazi cha leo ambaye ashapumbazwa akili na utandawazi, ferminism na anayaangalia mahusiano kama biashara au njia ya kupata luxuries ambazo wazazi wake hawana uwezo wa kumgharamia.

Kubalini zama zimebadilika mawazo mnayoyamini na mbinu mlizotumia zama zenu vyote ivyo vimeshakua outdated.
 
Hapa umeupiga mwingi
 
🙌🙌🙌🙌🙌
 
piga spana apo
 
Ukifanya hivyo hawezi kushtuka kuwa una mtest??..,(,hiyo kuacha kumhudumia kwa atleast mwezi?
 
Mara nyingi mashangazi yanakuaga hovyo sana wakuu..

Bora nipambane mimi kama mimi mamaeeeee
 
Katika uko kurekebisha kubaliana na ukweli kwamba kila mtu ana mawazo yake, kwaiyo ukipewa challenge usianze kuita watu hawana ufahamu kwa sababu mawazo yako wewe sio kanuni ya maisha hapa duniani.

Nilitaka nisikujibu lakini nafsi ikasita. Hapa siandiki tu kisa nimekula nimeshiba la hasha,bali hapa naandika ile kweli tupu ambayo ni moja. Unapokoselewa ni bora ukarekebisha kuliko kuminyana kwenye hakuna.

Huwezi ukajenga halafu muda huo huo unaharibu, huu ni ufahamu mdogo sana juu ya kile unachokisimamia hasa ukiwa hujui kama unaharibu.
Nafikiri wewe mwenyewe umeona comments za wote wanaounga mkono nilichoandika kwaiyo usifikiri wewe ndio una akili na uzoefu wa maisha zaidi yao wote.

Hapa umeonyesha udhaifu mkubwa sana kwa kuangalia wingi wa wale wanao kuunga mkono, usilolijua ni kuwa wingi ni jinsia ya kike na huwa dhaifu sana na mara nyingi husifiwa sana uchche.

Sisi huwa tunaangalia ni kina nani wanaunga mkono ? Je wanajielewa ? Sasa kama ambao wanakuunga mkono wana akili kama zako na uchachefu wa ufahamu kama wako hili ni tatizo kubwa zaidi.
Turekebishane, tupeane challenge, tuelekezane na pale ambapo hatutakubaliana basi tukubaliane kutokukubaliana.

Ndio maana nikakwambia kazi yangu nimemaliza, ajabu hukuelewa nilichokiandika.
 
Una mawazo yako nina mawazo yangu, hakuna haja ya kushindana nani yupo sahihi zaidi., ndio maana nikasema tukubaliane kutokukubaliana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…