Haujakombolewa kwa vitu vinavyoharibika...umekombolewa kwa damu ya Yesu..hakuna sadaka ya ukombozi n ramli...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Yajuaee maandiko yatajuweka huru

Hata siku moja uongo auwezi kuuzidi ukweliui

Tumekombokewa kwa Damu ya Yesu tu

Hatujakombokewa na vitu vinavyoharibika

Usidanganywe na sadaka ya ukombozi hioo n ramli

Kaaa kwenye mafundisho ya kwelii ya kukusaidia kumjua Mungu unaemwamini n nani
 
1719422773617.jpg
 
Watu weusi Akili zetu sijui zikoje, huyo yesu we una mjua au uli onana naye?.

nishindwe kushukuru mababu zetu kwa kupigania uhuru na maisha yetu, nije nimshukuru mtu aliye kwenye vitabu vya kusadikika!!

Yaani Kama yesu mwenyewe Ali sema iki mpendeza MUngu basi amwepushe na kikombe cha adhabu, halafu we una kuja msifia ?.

I think we blacks, need a serious mental check.
 
Ujinga ni mtaji

Wakubwa wanafaidi.
 
Ni Kweli,

Mungu alimtoa mwanawe wa pekee, Yesu Kristo Ili atukomboe Kwa Damu yake.

Ikiwa Mungu ametoa sadaka, sisi pia ni muhimu Kutoa sadaka. Na sadaka haijakatazwa popote, Yesu pia, mwana wa Mungu,alitoa sadaka.

Jambo muhimu la kuzingatia utoapo sadaka ni kuwa,

Sadaka utoayo, haiwezi kumnunua Mungu atimize ombi lako, Bali sadaka utoayo ni Ishara ya thamani ya Mungu juu ya maisha Yako. Ni shukrani tu.

NB: KANUNI ya Kupata pesa kibiblia ni kulipa ZAKA/ Fungu la kumi. Damu ya YESU ni kukupa wokovu Bure, ila kupata pesa, hutumii Damu ya YESU, unatumia KANUNI aliyoweka Yesu, ya kumjaribu Mungu Kwa Matokeo.

Tusipotoshe Wala kuchanganya mambo haya kuhusu Damu ya YESU na sadaka ambayo IPO kuwapeleka watumishi wa Mungu kuhubiri INJILI, ujenzi, kusaidia wajane nk nk!!
 
Soma vizuri mwishoni..
Hakuna sadaka ya ukombozi

Natoa sadaka sijawahi acha kutoa sadaka

Ila sadaka za ukombozi no.....
 
Watu weusi Akili zetu sijui zikoje, huyo yesu we una mjua au uli onana naye?.

nishindwe kushukuru mababu zetu kwa kupigania uhuru na maisha yetu, nije nimshukuru mtu aliye kwenye vitabu vya kusadikika!!

Yaani Kama yesu mwenyewe Ali sema iki mpendeza MUngu basi amwepushe na kikombe cha adhabu, halafu we una kuja msifia ?.

I think we blacks, need a serious mental check.
Neema ya Mungu ikizukie utoke gizani
 
Back
Top Bottom