Wakubwa wanafaidi.Watu weusi Akili zetu sijui zikoje, huyo yesu we una mjua au uli onana naye?.
nishindwe kushukuru mababu zetu kwa kupigania uhuru na maisha yetu, nije nimshukuru mtu aliye kwenye vitabu vya kusadikika!!
Yaani Kama yesu mwenyewe Ali sema iki mpendeza MUngu basi amwepushe na kikombe cha adhabu, halafu we una kuja msifia ?.
I think we blacks, need a serious mental check.
Soma vizuri mwishoni..Ni Kweli,
Mungu alimtoa mwanawe wa pekee, Yesu Kristo Ili atukomboe Kwa Damu yake.
Ikiwa Mungu ametoa sadaka, sisi pia ni muhimu Kutoa sadaka. Na sadaka haijakatazwa popote, Yesu pia, mwana wa Mungu,alitoa sadaka.
Jambo muhimu la kuzingatia utoapo sadaka ni kuwa,
Sadaka utoayo, haiwezi kumnunua Mungu atimize ombi lako, Bali sadaka utoayo ni Ishara ya thamani ya Mungu juu ya maisha Yako. Ni shukrani tu.
NB: KANUNI ya Kupata pesa kibiblia ni kulipa ZAKA/ Fungu la kumi. Damu ya YESU ni kukupa wokovu Bure, ila kupata pesa, hutumii Damu ya YESU, unatumia KANUNI aliyoweka Yesu, ya kumjaribu Mungu Kwa Matokeo.
Tusipotoshe Wala kuchanganya mambo haya kuhusu Damu ya YESU na sadaka ambayo IPO kuwapeleka watumishi wa Mungu kuhubiri INJILI, ujenzi, kusaidia wajane nk nk!!
Neema ya Mungu ikizukie utoke gizaniWatu weusi Akili zetu sijui zikoje, huyo yesu we una mjua au uli onana naye?.