wote kwani kuna mtoto hapo? Chochote chaweza fanyikaso asiye aminika ni nani?
Tukubali ukweli tu!Mimi mpenzi wangu alimuoa my best friend aisee
kuna watu na viatu acha tu kaka
unaliwa hapo
pole sana sister manake hii makitu huwa naona unaiongeleaga sana,Mimi mpenzi wangu alimuoa my best friend aisee
kuna watu na viatu acha tu kaka
unaliwa hapo
We wako wa kiume akiwa karibu na mpenzio unakosa amani?
pj bwana sijui kama alinizidi au vptukubali ukweli tu!
Huyo rafiki yako ana quality moja au zaidi ambazo wewe huna...kataa ukubali!
Smtymz lazima tukubali udhaifu...!
Jiangalie kuanzia lugha, usafi/uchafu, ukarimu, kuwajibika etc!
Kama uko makini jaribu kumtafuta rafiki yako akusaidie akwambie alimpa nn cha ziada b/f wako hadi akaamua kukutupa mkono!..huenda maujanja hayo yakakusaidia mbele ya safari!
Pole!
maziwa ya mgando nakuaminia nikikuona mahali roho inalipukakuna watu ambao unaweza waacha na mwenza wako na wala usiwe na wasi wasikuna wengine huwezi hata kuwakaribisha karibu na mwenza wako.inategemea na mtu huyo unamsomaje.uaminifu ni kitu cha ajabu sanakuna watu wananiamini 95% na mambo yao yotewakati mie nawaamini 40%kuna mtu anamwamini 98%japo yeye ananiamini 70%
maziwa ya mgando nakuaminia nikikuona mahali roho inalipuka
HII ITAUSIKA SIKU HIYO STORYUsijali, siku moja nitakukaribisha mahali tupige story.