Hauna akili/umepinda

Somoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
754
Reaction score
282
Ukiona mtu rafiki yako, mpenzi wako, jirani yako au mtu yeyote yule ambae hakujui au ambae amekuona mara chache sana, halafu anakuambia umepinda au hauna akili basi jua,
(1) Huyo mtu yeye mwenyewe ndio kapinda kweli, na tena hana akili kabisa. Kawaida mtu alie na akili timamu na alienyooka, hatumii lugha kama hii.
Mtu wa dizain hii mi nampotezea mbali, shenz type.

2) Ukifanya uchunguzi utagundua huyu mtu hapendwi na watu wa kawaida, na hata hapendwi kimapenzi na binadamu wengine, marafiki zake wabovu kama yeye mwenyewe.
Je wenzangu mmewai kukutana na watu kama hawa?

Mie nimekutana nae wawili.
 
Sometimes tabia za watu wengine hazivumiliki inabidi umchane tu
 
Pole kwa yalokukuta, maybe kashindwa kukuingiza kwenu 18 zake kaamua kukupa live, mtazamo tu
 
Pole kwa yalokukuta, maybe kashindwa kukuingiza kwenu 18 zake kaamua kukupa live, mtazamo tu

Bora kuchanwa live, unasalimika na majanga.
Tena kafanya vema, ninge ingia kwenye mabovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…