Have a good night honey

Have a good night honey

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Hawa wanawake zetu wana changamoto sana. Ukiwa around anajifanya hana time na wewe.

Since last month nimesafiri niko mbali na home. Sasa hivi anaijikosha hatari,kila siku usiku ananitumia hiyo text ya good night honey.na mimi kwa dharau huwa simjibu.

Hivi huwa wana nini hawa?
 
Maana yake anakuaga ana show na mwamba flani usije kumsumbua na huwa anafurahi vile ambavyo humjibu.


Ndio hali halisi na wewe tafuta pisi tafuna.
 
Tutaishinao tu hakuna namna mkuu.
 
Sasa hapo huelewi nini mkuu?!

Anakuwaga ana miadi na mkulungwa sasa anatoa taarifa mapema kana kwamba analala kumbe ni mda wa kukojozwa
 
Sasa shida ipo wapi? asingetuma kabisa nayo ingekua kesi.
 
Back
Top Bottom