Hawa wanawake zetu wana changamoto sana. Ukiwa around anajifanya hana time na wewe.
Since last month nimesafiri niko mbali na home. Sasa hivi anaijikosha hatari,kila siku usiku ananitumia hiyo text ya good night honey.na mimi kwa dharau huwa simjibu.