Have/will you change your name after marriage?


Usisahau tena....waweza ninyima riziki bure....l.o.l......waga shida haianzi kabla ya ndoa,ni baada ya ndoa...nani anataka matatizo kabla,ukishaingia huko ndo hasa unaanza kuonyesha msimamo,waweza kuta jamaa anakutafutia sababu,sasa ukileta mdomo na suala la jina akapata sababu ya kukataa kukuoa.....l.o.l
 
Reactions: BAK
Sijui nitabadili, sijui sitobadili....ngumu kujua kwa sasa.
 

Ahaaaa! Kumbe kabla ya ndoa unaminya tu 🙂 kuhusu kubadilisha jina la mwisho, lakini ndoa ikishafungwa basi hapo ndio vita vya kubadilisha jina vinaanza rasmi!
 
mimi wangu ka-maintain jina lake (officially).. ila hapa mtaani wanamwita Mrs. Kanyagio.
ila kuna cases ambazo unaongeza jina la mume. for example kama LIZZY surname yake ni KANYAGIO akiolewa na MAKANYAGIO basi nimeona wakiandika LIZZY KANYAGIO-MAKANYAGIO..
 
Ahaaaa! Kumbe kabla ya ndoa unaminya tu 🙂 kuhusu kubadilisha jina la mwisho, lakini ndoa ikishafungwa basi hapo ndio vita vya kubadilisha jina vinaanza rasmi!

nani anataka shari na husband to be aliyeishafikia hatua za mwisho kabla ndoa? yabidi kuwa smart kidogo tu!!:dance::dance:
 

Hahhaha...Kanyagio Makanyagio!!!Kweli lakini...mama yangu mdogo amefanya kuongezea tu ukoo wa mumewe!!!
 
yatakuwa yana nini sasa? manake mdomo si ndo tunatumia kusema I LOVE YOU na ku kiss jamani? haya tuambie BAK....mtaalamu,mapenzi yana nini??:dance::dance:

Mhhhh! Michelle mbona unanipa utaalamu nisiokuwa nao jamani!? Utaalamu wa mapenzi na BaK wapi na wapi!? Mie nilikuwa nashangaa tu kauli zilizotolewa na akina Michelle na Lizzy kwamba Mapenzi hayana pua wala mdomo...sasa sijui yana nini! hahahahah lol!
 
Ikitokea nikakubali kufungwa pingu sitabadilisha jina langu....

Kuna mama nilimsikia akisema yeye ameshaolewa mara nne...natamani kujua kama anatumia jina lake au anabadilisha kila akiolewa!!!
Utaitwa LIZZY FINEST utake usitake sio ombi ni amri
 
Yana hisia za ndani zisizoonekana wala kusikika....ndio maana watu wanaweza kudanganyika!!
 
Reactions: BAK
Yana hisia za ndani zisizoonekana wala kusikika....ndio maana watu wanaweza kudanganyika!![/QUOTE]

Hayo maneno kwenye rangi yana uzito mkubwa sana kwa sababu sio kila kwenye mapenzi kuna uongo. Ahsante sana Lizzy.
 

Nisamehe BAK,sikukuelewa....nikajua wataka kutupa utaalamu....l.o.l
Haya Lizzy ametoa majibu hapo juu.....soma uelewe tu sasa,mimi ni mtaalam,consult me anytime...l.o.l
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…