nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
- Thread starter
-
- #41
Nisamehe BAK,sikukuelewa....nikajua wataka kutupa utaalamu....l.o.l
Haya Lizzy ametoa majibu hapo juu.....soma uelewe tu sasa,mimi ni mtaalam,consult me anytime...l.o.l
Utaitwa Michelle Finest utake usitake sio ombi ni amri
But it does make sense a lot lol!!!i will be happy and proud.....Michelle The Finest....how beautiful!:dance::dance:
Will do as advised...how much do you charge per hour!? (as consultation fees) 🙂
But it does make sense a lot lol!!!
Jamani kubadilisha jina kuna sababu nyingi. Lakini kikubwa ni kwamba kwa wanawake wengi.. (especially katika Africa yetu) swala ni je mume akidondoka/akarudi kwa muumba wake leo..na wewe uligoma kubadilisha jina..utakuwa na la kwako kweli? especially ndugu wakianza kukusakama kuhusu mali? Ofcourse hata kama umebadili jina siyo guarantee kwamba hutasumbuliwa..lakini you can be sure kwamba inasaidia unapopigania haki zako kama una jina la mume wako.
Ni vema watanzania wenzangu..tuache hii 'elitism'. Najua wengi tunaokuja humu JF tumeenda shule na haki zetu wengi tunazielewa lakini tujue kwamba kuna maelfu ya dada zetu na mama zetu hawana privileges tulizonazo. Kwa hiyo kubadili jina, to me I would say, inasaidia security. Leo Masanja nikioa..mke wangu anaweza akabadili au asibadili...lakini hii ni kwa sababu Masanja naelewa whay she should/should not do this.
Tupende kutoa ushauri tukiwa tunaangalia uhalisia wa maisha. Sometimes hizi human rights ziko kwenye vitabu na zinapatikana kwa wale wenye uwezo. Mimi nikiulizwa na ndugu yangu kule village kuhusu kubadili jina akioelwa.....definitely nitamwambia mama..fanya fasta!
Unaweza usibadili lakini....if you can afford it..not many can do that. Most of us know that.
I see!!!Desturi hii ya wanawake kubadilisha jina lake baada ya kuoa inatoka wapi? Pia, kwa nini ni mwanawake anayetarajiwa kubadilisha jina lake na sio mwanaume? Sioni maana yeyote ya kufanya hivi. Nitaongeza jina la mume wangu tu (na namtarajia mume wangu kufanya sawasawa).
mimi wangu ka-maintain jina lake (officially).. ila hapa mtaani wanamwita Mrs. Kanyagio.
ila kuna cases ambazo unaongeza jina la mume. for example kama LIZZY surname yake ni KANYAGIO akiolewa na MAKANYAGIO basi nimeona wakiandika LIZZY KANYAGIO-MAKANYAGIO..
Hahhahaha hata mimi ni Mrs Nsiande ngiwiriamooo-chumaulete !
I have kept the best of both names, la kwangu which was and still is extremely popular manake nikikutana na marafiki zangu wataanza na Nsiande Ngiwiriamoo ....then husband dearest's name nimeliweka mbele kuonyesha addition ya mwili mmoja ....
Its our annivesary today...10 years baby ....very happy for today...don't know what tommorow has in store for me.

Hongereni pamoja na Nyumba kubwa.....muongeze mingine hamsini!!
Wow. It is my annivesary too. 8 years though! (with additional 4 memorable dating years)