Have/will you change your name after marriage?


duu kwa hiyo hata nisipokuwa na ndoa, nikitumia jina lake tu tayari nakuwa mrithi
 
It is not about Mrs Clinton or Obama; it is about you. Why change/not change your name? Hata hao kina Mrs Clinton ni wanawake; they might have same characteristics described by the article!

Mimi sikuwazia sana whether to change or not. Na hubby did not even ask. Ila naona ni karaha mpaka uende sijuhi kuhapa. Sijuhi uwe unaambatanisha kiapo kwenye kila certificate yako. What for? I don't know how it feels to have a new name at the age of 30! And am proud of my family name too which has nothing to do with loving/not loving my husband.

Having a name added before or after my family name sounds to be even more confusing. Nakubali kitaani wote wananijua Mrs fulani; hiyo inatosha. Ila ofisini no thanks (kijapani Dame -msisitizo)

 

Lakini, kwa nini Mr Fulani hatakiwi kubadilisha jina lake kuonyesha yeye ni mume wa Mrs Fulani? Can I conclude that he is not proud of his own wife? Sidhani proudness ni tatizo hapo. Nikifanya utafiti kuhusu swala hili niligundua kuwa, zamani, wanawake kubadilisha jina ilikuwa ishara ya dominance of the husband over his wife, uthibitisho kuwa yeye ndiye kichwa cha nyumba na jamaa yake. Sasa ingawa mawazo yameevolve na usawa wa kijensia umekuwa mojawapo wa lengo muhimu zaidi ya kutekeleza, desturi hii ya wanawake kubadilisha majina yao ilibaki katika utamaduni wetu. Hii ni sababu kwa nini wanawake ambao hawakubadilisha majina yao wanachukuliwa kama wanawake wanaojitegemea zaidi (kwa mujibu wa utafiti huu wa Wall Street Journal).
Is this assumption true? Of course not, but my point is that it is kind of sexist to expect women to change their name and not men. So, If a woman wants to keep her name, we shouldn't start looking for some negative underlying reason for her behavior. Just like we don't when a man doesn't want to change his.
 
Nitaandikwa kwenye kadi za harusi tu na mtaani kujulikana Mrs fulani ila ofisini jina langu na baba angu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…