Have you ever been this tired?

Vipi ukiwa umechoka kama hivi:

Huko hoi bin taaban kama wachizi hawa hapa chini:

Yani hujiwezi kabisa:

Mazee leo utakuwa umechoka sana!

We acha tu... halafu ukiunganisha na joto na vumbi hili la bongo. Basi niko nyokonyoko.... Yani natamani ningeweza kumpigia simu yule daktari "aliyemdunga" Michael Jackson.
 
We acha tu... halafu ukiunganisha na joto na vumbi hili la bongo. Basi niko nyokonyoko.... Yani natamani ningeweza kumpigia simu yule daktari "aliyemdunga" Michael Jackson.

Pole sana tafuta stimulant ie kahawa kali changanya na cocoa hata Red Bull si mbaya sana!
 
I like the animals pics there so cute, Duh ila hao hapo Wazee wanawaza rushwa tu
 
Aliyenimaliza ni huyo dogo aliyechapa usingizi huku akiwa anajihelp.Kinachonichanganya bado yuko stebo,hadondoki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…