Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?

But this time no way the world is on the road to perish most of people don't see this na hakuna lakufanya tuendelee kuangalia this scripted movie.
It is a scripted movie indeed.Hata hivyo tusikate tamaa,may be,and may be,we can awaken the sleeping lot na kwa pamoja as humanity tuka-rise up against our tormenters.
 
So Kama watu hawazalishi or hawanaujuzi they deserve death/genocide....such evilness thoughts unatoa wapi brother
 
So Kama watu hawazalishi or hawanaujuzi they deserve death/genocide....such evilness thoughts unatoa wapi brother
benard 10 mawazo maovu kiasi hiki yanatoka kwa Shetani no doubt.The guy is obviously possessed by demonic forces.
 
So Kama watu hawazalishi or hawanaujuzi they deserve death/genocide....such evilness thoughts unatoa wapi brother
Yaanii...

Niliwahi kusikia hata mitandaoni kuna mashetani.

Unaweza kukuta unajibizana na kinyamkera mtandaoni bila kujua.
 
So Kama watu hawazalishi or hawanaujuzi they deserve death/genocide....such evilness thoughts unatoa wapi brother
Everything comes with price.
Certain level of cruelty ni lazima iwe adopted kufikia mabadiliko. Mkuu hata civilisation ilisambaa through exercising evilness. Hakuna namna due to the fact kwamba watu hawataki kubadilika.
Mkuu ina maana huoni wanaozaa ovyo watoto ni wabinafsi na makatili. Unawezaje kumleta mtoto kwenye mazingira yaliyojaa dhiki na tabu, kama si kumuangamiza na kumletea taabu na dhiki huyo mtoto? Sipingi reproduction, nachopinga ni kuzaliana ovyo ambako mwisho wa siku kunaleta mizigo kwa taifa na ulimwengu kwa jumla.
 
⏩"Ninachopinga ni kuzaliana ovyo ambako mwisho wa siku kunaleta mizigo kwa taifa na ulimwengu kwa jumla."⏪Hizi ni sababu za kipepo za kuhalalisha genocide.Nani kakuambia umsaidie and why should you be concerned,ni ndugu yako?Si Bora umuache ajifie mwenyewe kuliko umuue eti kwa sababu hutaweza kumsaidia,isn't it morally correct?Ushetani kabisa.Mimi nadhani umepandikiziwa miroho ya kipepo,sio bure.
 
Bro wako ni kilaza ila kwa sababu wewe ni kilaza zaidi unafikiri yeye ni genius.
 
Bro wako ni kilaza ila kwa sababu wewe ni kilaza zaidi unafikiri yeye ni genius.
Your thinking seems satanic....A keyboard warrior from underground tunnels of Nevada....Wake up and know this, your blood isn't theirs so you're in line to go Dude
 
A very evil being.
 
Your thinking seems satanic....A keyboard warrior from underground tunnels of Nevada....Wake up and know this, your blood isn't theirs so you're in line to go Dude
Yoda ni mpumbavu sana.This is infact what they say about him in their Covenant,wanamtumia tu kama karai,he should wake up.

👉We will recruit some of their own to carry out our plans, we will promise them
eternal life, but eternal life they will never have for they are not of us.

The recruits will be called "initiates" and will be indoctrinated to believe
false rites of passage to higher realms. Members of
these groups will think they are one with us never knowing the truth.
They must never learn this truth for they will turn against us.
 
Haya yote kwa sasa hawezi yaelewa...He's trapped
 
Kwani wewe ni mlinzi wa dunia?
 
Je hiyo stratosphere wao hawaitumii? Maana tunajua na wao wanatumia usafiri wa anga
 
Mimi sikuwahi kumpenda Hayati Magu...lakin kwenye ishu ya korona alifanya kitu kikubwa sana kwa watz nilimuelewa navkika mwenye kuona atambue kua chanjo ya korona ni hatari kuliko tunavyofikiri...ingekua sii agenda ya maana kwao believe me Magu angelikua hai...wameshaweka watu wao tayari nasikitika watachanjwa wengi..5G has no mercy ni kitu hatari kinakuja tokea we better be prepared.

Ukingalia threat ya Corona kwa ngozi nyeusi ni ndogo sana why tulaximishwe chanjo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…