Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?

Wars hazitakiwi kupiganwa, waache wapigane wengine, utakuwa mshindi sana usipokuwa na hofu ya vita wala kifo, uki respond kupigana vita basi umeshashindwa...
Kwa mujibu wa hilo bango la mtoa mada ni kuwa...
Don't cooperate!!!
Sawa sawa sinajina...
 
Sasa huoni na wewe pia unam ridicule mtoa mada kwa sababu mind yako imeshindwa ku comprehend ukweli wa bango lenyewe.
Mimi naelewa kila sentensi iliyoandikwa na karibu 99% ya kila line imetimia! That is a prophecy
Mkuu mimi ? I am just trying to explore things at a different angle nothing personal...The what if questions you know !...what if we are on different angles of a coin ? all you see is head and all i see is tail, our stories would differ wouldn't they ?...
 
Illuminati ni nini?
Unafahamu huu uzushi, uvumi na upuuzi unaoitwa illuminati ulianza kutajwa karne ya 15 tu wakati binadamu ameanza kujihusisha na dini hata kabla hajagundua maandishi?!
 
Umeandika vitu gani wewe mbona sielewi kabisa!?

Wajerumani and blah! blah! waliua wazazi wenu waliokuwa na maarifa bora na wakaleta ya hovyo sio? kama ni kweli walikuwa(wazazi wenu)wana kiwango kizuri cha maarifa why didn't they resist?

Hivi wewe mpumbavu anaweza ongoza njia yako.
 

Hata mimi ningekuwa na control google ningefuta. Hizi conspiracy theories hazina faida yeyote kwa jamii ya binadamu zaidi ya kujenga ubishi tu.

Nakupa mfano wa madhara ya conspiracy theories. 2020 kipindi cha mlipuko wa covid 19 wazee wa kospirasi theories wakiongozwa na trump wakaanza kusambaza uongo kuhusu covid 19 hali iliyopelekea usambaaji zaidi wa ugonjwa kuliko uthibiti.

Conspiracy theories ni udaku. Unaporuhusu udaku ndo usambae ina maana umegeuza platform yako kuwa chombo cha udaku. Kwa vyombo vya kimataifa kama google huu upuuzi hawawezi kuruhusu.
 
Hii kitu hakuna ya KISWAHILI chake tuisome na kuielewa vizuri?
 
Research sio kukopi na kupesti tu.
Inaonesha we Ni mgumu Sana wakuelewa mambo copying haijawahi kuwa kosa hata siku moja na Ni part of researching ndyo maana nimekwambia you need to know in detail what you copy objective zake when,which and why you copy simple.!!!
 
Na North Korea hapa wanakaa wapi because they are completely isolated na sidhani Kama Ni part ya hawa globalists na Kama siyo part ya hawa globalists vipi haiwez kuwa kikwazo kwao because with no doubt they are very powerful especially military wise au nao Ni part of those evil masters.
 
North Korea ni sawa na Sokwe aliyakamata AK47 anarukaruka akiichezea.
 
North Korea ni mojawapo ya mataifa maskini sana duniani yaliyoamua kutumia akili na rasilimali zake zote kwenye silaha, mara nyingi sana limekabiliwa na njaa na kisaidiwa na globalists South Korea na China.
 

Swali la msingi sana!
China nao wako opposite na new world order.
Mipango yao malengo yao ni tofauti kabisa na hao wa NWO.

CHA KUSHANGAZA NI CHINA NDO WORLD SUPERPOWER KWA SASA.

HUKU AKIWA NA PROJECT YAKE YA KUFUFUA SILK ROAD (NJIA YA NCHI kavu ya kibiashara kuanzia China mpk ulaya na Afrika)
 
Haya
Haya yatakuwa maandiko ya Wafuasi wa Hellen Gould White.
 
Uko on point mkuu Sasa hawa jamaawe wengine inakuwajee na Iran anakaa nafasi gani cause nae naona Ni separate kutoka hawa Wengine
 
Watu tukisema tunawachukia mabeberu wanatushangaa.Hivi kuna uovu gani mwingine mbaya unaoweza kumfanyia binadamu mwenzio zaidi ya huu?
Mabeberu unawapingaje wakati asilimia mia ya vitu unanyotumia vimetoka kwao. Hata hili andiko ulilopost hapa ni la mabeberu.
 
This is an extremely stupid comparison,it does not even deserve my comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…