Have You Ever.......


Thanx MTM you really inspire me.
I just wonder what would happen hadnt that person been pushing you.................and how was she doing it? (Want to learn the how)
 
K..........so the answer here is that you cant detach yourself in this kind of feeling unless s/he pushes you away. okay

Hah you wanna know the secret?? Naaah!! am not telling lol
 
Loh babu ni kweli imekaa kiujanaujana kwa sababu huweziumia kama uko na bibi ......ila Babu naomba busara yako.............. kuoa ndo mwisho wa kupenda au ukioa basi kila ukitokea kupenda unapotezea?? Unapotezeaje?

Hii ni imani ya babu:

Kuoa/kuolewa sio mwisho wa kupenda/kupendwa
Kuoa/kuolewa si kupenda.... unaweza ukaoa/ukaolewa na mtu asiyekupenda....baadaye ukaja ukakutana na unayempenda....Hapo ndoa haiwezi kuzuia penzi.

Asilimia kubwa ya ndoa ni za watu ambao hawako katika penzi....usishangae infidelity inavyoshika kasi.....ukianguka kwenye penzi, huwezi kucheat. Ukiona mtu anacheat, ujue ameoa/ameolewa na mtu ambaye hajampenda.....Huyo alitamani, akaoa/akaolewa.

Bila kuzunguka sana, kujibu swali lako...kuoa si mwisho wa kupenda.......... Ukipenda huwezi kupotezea, sanasana utakuwa unajitesa bure. Unapotezeaje? Hilo sina uhakika kama linawezekana, labda kama utakuwa hujapenda au babu sijui maana ya kupenda.

Babu anarudi kitandani.
 

Dah Babu unajua ndo unazidi kunichanganya Mjukuu wako Mtiifu?? Aksante sana kwa ujumbe huu. Duh kweli mapenzi kizungumkuti....Hivi aloyagundua alikwa anawaza nini??
 
Rahisi mnooo. Wewe just assume kama huyo alyekutenda amefariki na uendelee na hamsini zako. Don't be weak!!

rahisi? si kweli, UNLESS hukumpenda kiukweli!

Kaka acha uchoyo share with me please!!

How did you de-attached from that love feeling! Did you go for it even if you know you could not have her or did you just let the feeling dry and die?

...distance, time, new adventures, etc...msumari wa mwisho ilikuwa nilipowasiliana tena (kwa mara ya 'kwanza')..nae miaka kumi na tano. Ule urembo na majivuno aliyokuwa nayo vyote vimeyeyuka, plus ameolewa na jamaa anampelekesha mbaya!


...hapana, kusahau somo kubwa maishani incl Mapenzi, maana yake kajiuzembe fulani. Kusamehe sawa.
Ukishatambua thamani yako, na kwamba kila mtu amejaaliwa thamani yake mahsusi...then haitakuwa ngumu
ku tune mawazo kwamba "a bird in hand worth two in a bush!"

 
Self help is the best help. No one can improve you better than yourself can. No one can help you better than yourself can. To be happy, feel lucky and enjoy life, you need to be able to love yourself. You need to make yourself make the most of every moment, you need to help yourself make the fullest use of everything you have within. You need to keep improving yourself constantly, continuous improvement.

Accept yourself they way you are. Every individual has it's own set of strength and weaknesses. Accept that you are not flawless, stop self criticism (stop blaming yourself) and look within yourself. Stop worrying and be confident.
 
Dah Babu unajua ndo unazidi kunichanganya Mjukuu wako Mtiifu?? Aksante sana kwa ujumbe huu. Duh kweli mapenzi kizungumkuti....Hivi aloyagundua alikwa anawaza nini??

Hapa si aliyeyagundua, bali aliyeyaingia alikuwa anawaza nini?.... Babu yangu aliwahi kuniambia.......Ni bora usikutane na umpendaye kuliko ukutane naye halafu umkose.........
 
Muhimu hapa ni kujua unachokitaka huwezi kukipata then uukubali ukweli.The process will be long and painful but again it‘s better than fighting a lost battle thinking you will ever win....maana kadri muda unavyoenda ndivyo maumivu yatakavyoongezeka.

Kusahau na kupotezea sio rahisi kama kitendo cha kuwasha na kuzima tv kwahiyo ukihitaji kulia we lia...ruhusu moyo wako kuumia huku ukijua kwamba siku moja utampata ambae atakupenda wewe na wewe utampenda hivyo unavyopenda wa sasa na zaidi.Na kama ilivyo kawaida jua kwamba kila unapopenda unapenda zaidi ya “last time“....ndo maana kabla ya huyo ulimpenda mtu ukadhani umefika...sasa umempenda huyu zaidi mpaka hutaki kukubali kwamba huna nafasi maana imejazwa tayari so jitendee haki kwakuucha moyo wako ufanye kazi yake.Umependa ukakosa hivyo umia mpaka utakapokua tayari kusema sasa inatosha maana hakuna kinachoweza kubadili kilichopo ila naweza kuangalia ustaarabu mwingine.

Alafu hivi huyu mwenzako nae analia au anafurahia machozi yako??Maana ni rahisi zaidi kuzika hisia kama umpendae hakupendi ila kama nae anakupenda inakua ngumu kusonga mbele.
 
Jamani jamani acheni tu mapenzi haya,am sure most of us have been zea n done that,I had a dude nilimpenda sana jamani mpaka smtimes nilidhani sitapenda tena,ghafla nikaskia jamaa anaoa,kumuuliza"bby achana nao hao,ww tu ndo nakupenda"basi na mm bichwa hilooooo,mwisho wa siku jamaa akaoa(u can imagn wat I went through)after 2yrs (wakatengana) jamaa anarudi na masound eti "bby ww ndie Mungu alinipangia tu yule bana hakuwa chaguo langu si unajua wazazi eti lazima niole kabila langu,plz bby an ready kukuoa"By zis tyme na mm niko na my hubby,yani watu woote nilikuwa nawaona kama sisimizi coz nahisi nilikuwa sijawahi kupendwa all zis times nilikuwa mm ndo napenda,Trust me Mwanajamm 1,mtu akikupenda bana nothing can keep him away,and its all about been patient Mungu kampangia kila mtu na ubavu wake,atafika tu no matter how long its gonna take,most of the time tunapenda tusipopendwa and cc wanawake ukipata ka boyfriend tu basi ndo unachukua hati miliki kabisaaaaaaaaa,(kufua,kupika,mashostito wooote wanatambulishwa )unajua ndoa ndo itafuata,while most of the time thats not the case!
My Take:Kila mtu anaubavu wake
Anything thats hurt you it not urs
Jiamini hakuna kama ww ktk dunia hii na hatotokea, ww ni mzuri maana umeumbwa kwa sura na mfano wake(u undstand eeh?)Mpende Mungu wako sana,jipende ww,penda ndugu zako,rafiki zako akitokea wa ukweli penda yy sana na kwa moyo wako wooote
If a Man/Woman loves u nothing can keep him/her away"wen a man loves a woman""love takes time "
 
Lizzy sweetheart, i think i once said this to you and probably i might have said more than once

Love is giving, not receiving!!!

MJ1 is giving her love, unfortunately the love might have not been received as expected (I am just assuming).... I do believe it is only through giving that one will enjoy love coz we are alway proud of what we share/give and not what we receive, it is a law of nature unless one is unnaturally selfish, which is unfortunate. if you have read the tend of people sharing their past experience, or even the songs pasted in this thread zote zina melekeo huo... GIVING

Personally, I never want to receive love, all i want is to give.... and it is through giving, then we can share something in return

nilivyomuelewa mimi MJ1, ni kwamba she has lots of love to give but it is not reaching the last mile, and somehow she wishes to detach that love,.... who knows, probably the way she give it is the problem (labda huyo jamaa hajui, au kabanwa na hawezi kutoka huko alipo au hata kushare) and this has only two approaches, kusema usikike na kufanya yaonekane, au ku-detach

WHEN GIVING LOVE, DONT MIND THE FUTURE TEARS COZ THAT WILL IMPEDE YOUR GIVING AND IT WILL BE AS COLD AS ICE

.....SORRY BUT I HAVE TO SAY THIS, WANAHARAKATI WENGI, WANA VERY COLD LOVE COZ TO THEM IT IS LIVE BUSINESS AND BOOKS HAVE TO BALANCE, IN THE END EVERYTHING BECOMES A BORE
 
True....the beauty of love is in the giving rather than receiving....lakini wanadamu tulivyo satisfaction tunapata in being loved in return.Nwy kama anaepewa hapokei kwasababu hawezi au hataki..kama anapokea ila hatilii maanani then kunakua hamna raha yoyote.Anachoweza ni kukubali kwamba hapa sio sawa yangu na kusonga mbele.
 

The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:

Maty (Today)​
 
aaayyymmmennn!!!!

can i get a witness??
 
Asante Mwanajamii1 kwa kuanzisha sredi hiii...nimejifunza mengi! Kweli mapenzi kizungumkuti....mhhh!!!!
 
You may not be her first, her last, or her only. She loved before she may love again. But if she loves you now, what else matters...:A S 103:
 

hapa babu umenyoosha kwa rula
 

Aksante Lizzy mamii sometimes nafikiri huwa si rahisi ukijifumbisha macho peke yako unless muhusika naye akusaidie. Lakini unapojitahidi kuyafumba na ukianza kusahau kidogo then bam naye anavuta kamba for a while unapata tena hopes.


Lizzy aksante kwa ushauri huu .........so hapa unamaanisha hakuna haja ya kujaribu kutrigger wala kujaribu kufight for what you feel because you will be fighting a lost battle............. okay what if baadae ukajagundua kuwa hukujaribu enough to drive your point home ...ukasonga mbele only to find that kumbe naye alikuwa na tr5ue feelings au akakufuata sasa na kukuomba umpe kile alichoshindwa kudare kuomba hapo kabla??

Alafu hivi huyu mwenzako nae analia au anafurahia machozi yako??Maana ni rahisi zaidi kuzika hisia kama umpendae hakupendi ila kama nae anakupenda inakua ngumu kusonga mbele.


Sometimes analia and then anazimika for a while..........akiona unaanza kusonga mbele s/he cries tena na kuamsha tena hisia zako. It is like hataki feelings zako kwake zife and yet hana couradge ya kuzipokea, nurture na kuzihifadhi kwa manufaa na faida yenu wote.
 
Sijui kwanini hauniamini, hivi kwanini hauniamini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…