Have You Ever.......

...hapo kwenye wekundu.

Nilijifunza kumbe NO means NO bana.
Iliniuma lakini 3yrs zilinitosha kuyajua machungu
ya kupenda pasipo penzi.

Siwezi kumsahau alivyonitenda...(the way she made me feel!)
kuna majanga eehh...pole
 
Reactions: Mbu

MTM you must be from another planet darling huko ambako watu wenye mioyo ya aina hii wanaishi ambao tunawatamani sana na huku kwetu hawapatikani..Are you already taken??
ninasema hivyo kwa sababu kama mtu wa aina hii akikutana na mwenzake wa aina hii you can imagine the kind of love itakayozaliwa hapa.

I just ask myself is it a reality here or nowdays MTM, yaani mtu apende tu, atoe tu, ajali tu without receiving back?? Really?
i think most of chaos we experience within relationships zinatokana na kukosekana kwa reciprocity in terms of being loved back, respected back, kujaliwa kama unavyomjali n.k. n.k.

What you have written about MJ1 here is true and I cant agree less with what you say about wanaharakati................... I think I am one of them I get hurt sana pale ninapomjali mtu, penda mtu asinijali, penda back and I believe I am not the only one. May be I expect a lot too much from love relationships and thus making it a business lol
 

ntaumia sana sana, lakin ntakuwa sina jinsi zaid ya kuyavumilia hayo,
maumivu halafu na kuendelea na maisha.
Ila siyo jambo rahisi kuvumilia kama hivi ninavyoandika hapa,
ni kazi ngumu kweli kweli na inayoumiza na kuyumbisha maisha kwa ujumla,
na hasa kama haujapa msaada wa faraja wa karibu toka kwa ndugu/rafiki,
wanaojua maumivu ya kuachwa/kumwacha mpenzi umpendaye.

kuachwa na mpenzi unayempenda kunauma sana na zaidi ya sana,
ila ni lazima ukubali matokea na maisha yaendelee .
 
ah ah ah I shud red btw lines eeeeh?tatizo ni moja tu,kama uko tayari kuchezewa na kupotezewa mda unakaribishwa maana na mm nataka ku revenge kwa ma hurt brokers wote!
So i am more than welcome angalia tu hiyo mission yako isije ika backfire and then you find yourself not SINGO again
 
Now I don't wanna lose you,
but I don't wanna use you
just to have somebody by my side
And I don't wanna hate you
I don't wanna take you
But I don't wanna be the one to cry
That don't really matter to anyone, anymore
But like a fool I keep losing my place
And I keep seeing you walk through that door

But there's a danger in loving somebody too much
And its sad when you know its your heart you can't trust
There's a reason why people don't stay where they are
Baby sometimes love just ain't enough

So i am more than welcome angalia tu hiyo mission yako isije ika backfire and then you find yourself not SINGO again
 
My eyes only saw those words
 
 
My dear huyo mtu wa kukusukuma na kukuvuta kila anapojisikia kwakweli sidhani kama anakua anakupenda.....zaidi ya kutaka kukutumia kwa mahitaji yake.Na hata kama anakupenda atakua ni mbinafsi sana kukuacha umlilie alafu ukishafuta machozi yako anakuja tena kwako akijua kabisa ‘he/she can not stay with you‘.

Kitendo tu cha yeye kuchokonoa kidonda kilichopona au kinachokaribia kupona kinaonyesha kwamba atakua hajali mwisho wako utakua vipi bali leo yake itakua vipi.Ukitumia haya mawazo vizuri unaweza kuendelea na maisha yako japo unaweza usiache kumpenda.....ukifikiria kwamba unampenda ila hathamini upendo wako wala hajali hisia zako utapata sababu ya kukaa mbali nae na kutomuamini hata akikujia na machozi yake ya mamba.

Binafsi naamini wawili wakipendana kweli hamna kinachoshindikana.Swala la kwamba wengine hua wanabaki kwenye mahusiano yao ya kabla kwa sababu ya majukumu ni kudanganyana tu.Ukichukulia mfano wa mwanaume aliyeoa na ana mtoto ila kapenda kwingine.....anabaki kwenye ile ndoa kutimiza jukumu gani????Kama ni kua baba kwa mtoto wake anaweza kufanya hivyo bila kua na mama...kama ni jukumu la kua mume anakua amefeli tayari kwasababu mapenzi yake ameshahamishia sehemu nyingine tayari.

Kuhusu kupigania pigania kile unachostahili ....kinachotaka kupiyaniwa na una nafasi ya kukipata tu !!Otherwise utatumia muda mwingi kupigania kisicho riziki mpaka upitwe na kile ambacho ni riziki.Piga mahesabu kabla kuingia vitani....je ukishindwa utapoteza nini na kupata nini na je ukiweka mikono chini na kukubali kushindwa wakati bado uso haujachakaa kwa mawazo utapoteza nini na utapata nini.
 

Lizzy.................all I can say is THANK YOU
 

Usilie Nnunu....na pole sana. bado hujampata umpendaye? ombea usimpate uendelee kutamani tu. Kupenda kubaya!
 
Babu naomba nikuulize swali kidogo....umesema kwamba mtu akimuoa ampendae kweli hawezi kutoka nje ya ndoa.Je ina maana kwamba true love beats nature(as in mwanaume lazima awe na wanawake wengi)????
 
Karibu mpendwa.....hopefully ninesaidia angalau kidooooogo!
Lizzy believe me....si kidogo ni sana maana there are things that I didnt and would never think or see them in the way you have put them......kweli mapenzi ni kizungumkuti and people are taking advantage of it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…