B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 Sep 3, 2009 #21 Acheni ushamba nyie wadanganyika, huyu Kariuki hamsifii muungwana bali anamkejeli!! Toka lini mkwere akatia pamba zaidi ya Kagame!! Angalia hata hilo SHATI ALILOVAA MIRANGI INAVYONG'ARA KAMA SHUKA LA MASAI!!
Acheni ushamba nyie wadanganyika, huyu Kariuki hamsifii muungwana bali anamkejeli!! Toka lini mkwere akatia pamba zaidi ya Kagame!! Angalia hata hilo SHATI ALILOVAA MIRANGI INAVYONG'ARA KAMA SHUKA LA MASAI!!