Nash mberwa
Member
- Apr 3, 2012
- 11
- 0
duh, hata kama ni choroko za Tanga hapana aisee.
are you confused...?or did it?...ooops um not a girl...how do i delete this...!
kuna msichana 1 nilimtupia verse akatik.nikamshawishi twende geto akakubali,tulipofika nikaishia kuongea nae,nikamtouch kidogo na kumkiss halafu nikamsindikiza.siku iliyofuata alikuwa hatak kuongea na mimi wala kuniona.thats why nikauliza sabab alikuwa first date after my 22 yrs living like a holy person.sijui nimbembelezeje turudiane
Some do sex even before date!
Some do sex even before date!
kuna msichana 1 nilimtupia verse akatik.nikamshawishi twende geto akakubali,tulipofika nikaishia kuongea nae,nikamtouch kidogo na kumkiss halafu nikamsindikiza.siku iliyofuata alikuwa hatak kuongea na mimi wala kuniona.thats why nikauliza sabab alikuwa first date after my 22 yrs living like a holy person.sijui nimbembelezeje turudiane
to be sincere it is not good, ww ni mwanamke bwana lazima ujue kuringa kidogo.Nikupe siri moja kubwa ya wakaka, ukiwa mtu wa kunata ndio unawadatisha zaid.jiamin halafu jipende, usimkashfu mtu wala kumtukana lakini weka mapozi ya kufa mtu. Mwache kwanza akugharamie kimtindo. Siku hizi kila kitu ni gharama usiwe mrahisi. hata kama umempenda tulia aingie mfukoni kidogo kama mara 2 au 3 hivi ndio umpe. show him that yo are not just a woan but a special woman with every quality of a good woman. kama hujui mapozi ya kumdatisha nitafute nikue desa.
Naomba galz wanisaidie,hv n vizur kufanya mapenzi on your first date coz i am confused
Some do sex even before date!
haiko hivyo,mwanamke lazima lazima ujue kunata ili upime penzi lenyewe ni la aina gani kwani ukisema umkubalie kila mtu at frist site utatembea na wangapi, ili upate nini na kwa muda gani. mwanamke silka yake kutulia na anasifiwa sana anapokuwa na minat kimtindo. mambo mengine ya sebene ni utundu tu kwani hata utumbo ukipikwa vizuri huwa unanoga. Pia siyo busara kwa mwanamke kutembea na kijivulana ambacho kikitoka hapo kinakwenda kusema mwingine ni mshamba unakuta ndo siku ya kwanza anajaribu. tulia tafuta mtu mwenye heshima zake. mdatishe sana kisha mpe dozi takatifu kama atakuacha. jamani hivi hamjawahi kumfunda mwali chumban? kama badoo basi wewe ni mdogo sana kwa haya ninayo kwambia.Songíto;3688671 said:hii bana ilikuwa zamani, siku hizi kama mtu ana nia ya kukushusha gauni atakuwa tayari kuact mpaka akukamate!! tena ukimsumbua atakuvumilia weeeee, siku ya siku ukimpa atakunywea valuuu na kila aina ya vitu ambavyo anaamini kuwa atakukomoa, akitoka hapo baada ya kula vyake ukipiga simu yake utasikia haipatikani!! kinachofata itakuwa story kwa jamaa na marafiki kuwa nimemuweza yule aliyekuwa anajifanya nguli..... sasa usiombe wakati mpo kwenye yale mambo yetu akute umembania halafu kitu kilikuwa kinaelea...atakukashifu balaa na wakati mwingine story itatoka hata kwenye magazeti ya shigongo