johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hawa Watatu Freeman Mbowe, Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini na Jokate aka Kidoti Wana Vipawa na Vipaji bobevu katika Sanaa hivyo kama wasingeingizwa Siasani ni wazi Tanzania ingekuwa zaidi ya Nigeria
Huwa sielewi kwanini Watatu Hawa Walivivua Vipawa vyao 🐼
Ahsanteni sana 😄
Huwa sielewi kwanini Watatu Hawa Walivivua Vipawa vyao 🐼
Ahsanteni sana 😄