johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa vile humjamtaja Chalalamila, hii mada imekosa mashiko,Hawa Watatu Freeman Mbowe, Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini na Jokate aka Kidoti Wana Vipawa na Vipaji bobevu katika Sanaa hivyo kama wasingeingizwa Siasani ni wazi Tanzania ingekuwa zaidi ya Nigeria
Huwa sielewi kwanini Watatu Hawa Walivivua Vipawa vyao πΌ
Ahsanteni sana π
Jokate alipambana na sanaa haikuwahi kumlipa her ticket ilikuwa kwenye siasa ndio maana alipopata nafasi hajawahi kutazama nyuma. Joseph mbilinyi alifanya alichofanya hana anachoweza kubadilisha style yake ya kuchana na swaga zake hiki kizazi hakiwezi kuzielewa. mbowe huyo sitosema chochote.Hawa Watatu Freeman Mbowe, Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini na Jokate aka Kidoti Wana Vipawa na Vipaji bobevu katika Sanaa hivyo kama wasingeingizwa Siasani ni wazi Tanzania ingekuwa zaidi ya Nigeria
Huwa sielewi kwanini Watatu Hawa Walivivua Vipawa vyao πΌ
Ahsanteni sana π
πππJokate alipambana na sanaa haikuwahi kumlipa her ticket ilikuwa kwenye siasa ndio maana alipopata nafasi hajawahi kutazama nyuma. Joseph mbilinyi alifanya alichofanya hana anachoweza kubadilisha style yake ya kuchana na swaga zake hiki kizazi hakiwezi kuzielewa. mbowe huyo sitosema chochote.