hao ndio wapiga kura, ulidhan kujaza ndio kupigiwa kura, hata nyumba kwa nyumba tuu unapata kura za kutosha, yaan nyie badala ya kupambana na ccm mnapambana tena wenyewe kwa wenyewe, kwel tuna mwendo mrefu sana
Usiwadanganye na wewe, alafu kila chama cha siasa kinakosolewa na kushauriwa.hao ndio wapiga kura, ulidhan kujaza ndio kupigiwa kura, hata nyumba kwa nyumba tuu unapata kura za kutosha, yaan nyie badala ya kupambana na ccm mnapambana tena wenyewe kwa wenyewe, kwel tuna mwendo mrefu sana
ni muhimu sana kwa waTanzania kuenjoy uhuru na haki ya kufanya siasa bila mwingine kumkasirikia mwingine.Tazama picha hawa ACT wazalendo wanachokutana nacho kutoka kwa wananchi ni aibu tupu.
ACT wazalendo mnatakiwa kuchora ramani zenu za siasa upya watanzania hawaelewi mnapigania nini.
Chauma wao watapoteana vibaya munoo.
Ccm hizo pesa mnazotaka kutupa bure Chauma naombeni mzitumie kujenga matundu ya choo kwenye shule za msingi.
Aibu tupu, na hapo unaambiwa aliyekuwa anahutubia ni mwenyekiti wa chama ambaye ni makamu wa Rais zanzibar pia.
View attachment 3351354

Bora umeiweka vizuri.Umeona ujumbe wa ACT lakini?. ACT ndio wachokozi, wao baadala ya kupambana na CCM wao wameanza kuingilia slogan ya CHADEMA.