Hawa Air hostage wa Magufuli ni kina nani?

Hawa Air hostage wa Magufuli ni kina nani?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Jana nimemsikia mzee baba ana lalamika kwamba ndege ilitakiwa kusindikizwa hadi na airhostage.

Kizungu nimenishinda?

Au ni wale wadada wazuri?


Hostage najua ni waliotekwa?

Mwenye ile clip atuwekee hapa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nawe!Kwani hujui kuwa hiyo Lugha ilikuja na jahazi ikaondoka na ndege!?Wenzio tunajua kikolomije tu tungejua hiyo lugha si tungekuwa kwenye tukorido twa uropa tunatalii!Hata huko alikolazwa yule mgonjwa wa taifa toto tukutu tungefika kwa kisingizio cha kuona mgonjwa lakini wapi!!!kikolomije wale hawajui tutaongeaje.Halafu clo kasikia eaosteji kajikausha tu hakutaka hata kumuuliza mkuu wa malaika ni kina nani hao wamewaweka wenzao osteji.Hii ndio bongolendi inchi ya malaika mkuu na vipandikizi vyake bashite malyamungu,musiba wa musibani na wasomi nguli wa kutukuka kama kalamaganda na poropesa lipumbavu Mungu atupe nini tena?
Jana nimemsikia mzee baba ana lalamika kwamba ndege ilitakiwa kusindikizwa hadi na airhostage.

Kizungu nimenishinda?

Au ni wale wadada wazuri?


Hostage najua ni waliotekwa?

Mwenye ile clip atuwekee hapa.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaonekana wewe ni malaika na huwezi kukosea, upo perfect kwenye kila kitu[emoji41][emoji41]


Naisi alimaanisha AIR HOSTESS


😀ont folo folo me wizout ene bikoz:
 
Jana nimemsikia mzee baba ana lalamika kwamba ndege ilitakiwa kusindikizwa hadi na airhostage.

Kizungu nimenishinda?

Au ni wale wadada wazuri?


Hostage najua ni waliotekwa?

Mwenye ile clip atuwekee hapa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...acha ujinga bana...huelewi nini?..usiwe mpuuzi..tena mwenye akili fupi. ... Air hostages ni wale waliotaka kuteka ndege yetu ili wakafisidi million 320 kupaka rangi badala ya million 5 ambayo imetumika[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Unataka kudhihirisha ujinga wako hapa. Hatuwezi kujadili vitu nya kipuuzi hivyo. Manasubiri mtu akiteleza kidogo tu mlete uzi hapa. Ndio maan watanzania hatuendelei kwa ujinga kama huu
Jana nimemsikia mzee baba ana lalamika kwamba ndege ilitakiwa kusindikizwa hadi na airhostage.

Kizungu nimenishinda?

Au ni wale wadada wazuri?


Hostage najua ni waliotekwa?

Mwenye ile clip atuwekee hapa.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanajibu kinafki nafki humu ha ha ha ha it was a good joke, mimi mwenyewe ni mmoja wa hao hostage cheers.
 
Back
Top Bottom