Jana nimemsikia mzee baba ana lalamika kwamba ndege ilitakiwa kusindikizwa hadi na airhostage.
Kizungu nimenishinda?
Au ni wale wadada wazuri?
Hostage najua ni waliotekwa?
Mwenye ile clip atuwekee hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah! Mambo mengi yanatokea kwenye ndege[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah...acha ujinga bana...huelewi nini?..usiwe mpuuzi..tena mwenye akili fupi. ... Air hostages ni wale waliotaka kuteka ndege yetu ili wakafisidi million 320 kupaka rangi badala ya million 5 ambayo imetumika[emoji41]Jana nimemsikia mzee baba ana lalamika kwamba ndege ilitakiwa kusindikizwa hadi na airhostage.
Kizungu nimenishinda?
Au ni wale wadada wazuri?
Hostage najua ni waliotekwa?
Mwenye ile clip atuwekee hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nimemsikia mzee baba ana lalamika kwamba ndege ilitakiwa kusindikizwa hadi na airhostage.
Kizungu nimenishinda?
Au ni wale wadada wazuri?
Hostage najua ni waliotekwa?
Mwenye ile clip atuwekee hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app