escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Alianza mzee mzima Hamis Kilomoni a.k.a HK akamsumbua Mwamedi mpaka akatamani kukimbia mji ๐๐๐
Juzi tena Hamis Kigwangalla a.k.a HK nae kalianzisha had Mwamedi akatamani kujitoa kuifadhili Simba, Hapa angalau aliokolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha mboga mboga maana HK alikua ametawala sana mchezo
Sasa nashindwa kuelewa hawa wanaoitwa Hamis a.ka HK wana tatizo gani na huyu Mwamedi?