Hawa akina Hamis a.k.a HK wana tatizo gani na Mwamedi?

escrow one

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Posts
1,473
Reaction score
2,868
Alianza mzee mzima Hamis Kilomoni a.k.a HK akamsumbua Mwamedi mpaka akatamani kukimbia mji πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Juzi tena Hamis Kigwangalla a.k.a HK nae kalianzisha had Mwamedi akatamani kujitoa kuifadhili Simba, Hapa angalau aliokolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha mboga mboga maana HK alikua ametawala sana mchezo


Sasa nashindwa kuelewa hawa wanaoitwa Hamis a.ka HK wana tatizo gani na huyu Mwamedi?
 
Kigwangala ana hoja za msingi kabisa.Mo hayuko Simba SC kuisaidia timu bali ni mbia mwenye hisa zake zenye thamani ya bilioni 20.Hela ambazo hataki kuzitoa.Mo analeta janjajanja ya nyani halafu baadae aje aseme nilitoa hela zangu kuendesha klabu so bilioni 20 hakuna.AWEKE MZIGO WETU MEZANI.
Mimi kigwangala namwelewa sana.Pili, huyoe CEO hakuna mwenye tatizo na CV yake bali alipitia mchakato gani hadi kuwa CEO.
Tatu, Kwanini Mo anasema anatumia zaidi ya bilioni 3 kwa mwaka kuendesha timu, hela zake binafsi, anashindwa nini kutoa hizo 20b za hisa zake zikawekezwa timu ikajiendesha kibiashara.
 
Hat Diamond anajua kama Muhindi ni Tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…