Hawa Clouds Fm ni wa ajabu sana jamani

Clauds wanapaswa kujipanga upya kimaongezi na kauli za mtu mmoja mmoja
 
Acha ujinga wa kijitakia, sasa
Huu ndio ulofa alosema Mh Mkapa. mtu na chuki zake binafsi anataka kila mtu awe kama yeye. Sasa hapa tatizo liko wapi?
 
mengine si uwaachie tu hao clouds...kwani lazimakila kitu kukosoa...wanamkumbuka wa connection yao wanajua wenewe....kila mtu ana uhuru wa kumuenzi mtu fulani usijipe tu ma stress...hao wanaokumbukwa wameshatanguliambele ya haki...hivokukumbua kutokumbukahakubadili kitu....just dnt give yourself to stress n hatred
 
jamani ile ni kampuni ya mtu binafsi so wanahaki ya kufanya wanachokipenda sio as long as kina faida kwao sio kuwapangia kihivyo
 
Pia kuna redio moja huku mkoani eti iliamua kumkumbuka Bob Marley kati ya Wasanii wooooote waliowahi kuishi dunia hii.....hebu wakasirikie na hao kaka.
 
Anzisha redio yako umkumbuke mpaka mbaraka mwinshehe,usipangie watu vipindi kodi huwasaidii kulipa
 
UMESOMEKA MKUU
 
Mbona na recho muigizaji walimkumbuka
 
Naijui
 

Sio lazma usikilize wewe zima radio


Kanumba mfano wengine hatukujua ni nan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…