Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Kuna watu wamekuwa wakibeza tamasha la fiesta ambalo linaenda kuzinduliwa hapo kesho pale mjini Morogoro kwa kuangalia kigezo cha wasanii waliopo kwenye list...
Kwa kifupi hawa jamaa promo wanaijua, hawa wasanii wataeleweka tu sio kwa promo hizi..
Na kwenye vislogan vyao ndo huwa wanamaliza kabisa,kila mwaka wanakuja na mpya safari hii wanasema "vibe kama lote"...
Wanaousubiri Fiesta ife nafikiri wana muda mrefu sana wa kusubiri