Hawa Clouds wapo vizuri sana kwenye promo...

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Kuna watu wamekuwa wakibeza tamasha la fiesta ambalo linaenda kuzinduliwa hapo kesho pale mjini Morogoro kwa kuangalia kigezo cha wasanii waliopo kwenye list...

Kwa kifupi hawa jamaa promo wanaijua, hawa wasanii wataeleweka tu sio kwa promo hizi..

Na kwenye vislogan vyao ndo huwa wanamaliza kabisa,kila mwaka wanakuja na mpya safari hii wanasema "vibe kama lote"...

Wanaousubiri Fiesta ife nafikiri wana muda mrefu sana wa kusubiri
 
hapo clouds kuna mtu ni master of entertiment marketing (ruge) katika

watu ambao nawakubali kwenye masuala ya marketing ni ruge akifuatiwa na kelvin twisa
 
Haliwezi kufa hataaa!!!yaani clouds wako vzr!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…